Total kujenga bomba la mafuta la Kenya

Total kujenga bomba la mafuta la Kenya

Kwa taarifa kutoka kwa wakenya wenzako nikuwa wanalalamika kuwa SGR Uganda wanaipekeleka South Sudan. Museveni hafulukuti kwa TZ. Mmekwisha habari. Muda wowote mnaweza ngoa bomba kama mlivyofanya kwenye reli. Pata habari kutoka kwa wakenya wanaojitambua. Itakuchoma ila vumilia. View attachment 683485 View attachment 683486 View attachment 683487 View attachment 683488 View attachment 683489
hizo ni comments za watu kama mimi na wewe..SMH
Incase haujaelewa kinachoongelewa hapo na watu kama mimi na wewe . Its priority ya Uganda kati ya kujenga reli to Rwanda or S.Sudan.. Hawa jamaa wana assume kwamba reli ya Kenya itakua tayari ilishafika Kampala. Wanachoongelea hapo ni what next after Kampala. Kulingana na hio discussion, Kenya ingeprefere Uganda wajenge kwenda rwanda kwanza na Uganda priority yao ni S.sudan...in that case Kenya will loose out to Tz in a race to get to Rwanda+DRC...comprende???
 
Wasisahau Alshababu wanahamu nalo sana hilo Bomba, wakimaliza tu kulijenga wazee wazima wanatia timu kuliRostisha. "PATAMU HAPO".
 
Achana na incase
You have already lost. Forget about SS to join your pipeline. Magufuri is a game changer. Hivi mnakumbuka mlivyotaka kuwa support EU kwenye swala LA EPA nahuku walikuwa wamewawekea vikwazo SS name Burundi? Museveni na Magufuli ndowalisimama kuwakataa nakuwambia wasiingilie SS aunt Burundi kwani mambo ya Africa tutayamaliza sisi
Mnafiki Uhuru Kenyatta hakuuzulia hicho kikao. Ruto alikuja lakini alinuna mutation wote. Leo hii SS nimjinga kukubali kuungana nanyie nyangau mnaemkumbatia mzungu?? Think twice
hizo ni comments za watu kama mimi na wewe..SMH
Incase haujaelewa kinachoongelewa hapo na watu kama mimi na wewe . Its priority ya Uganda kati ya kujenga reli to Rwanda or S.Sudan.. Hawa jamaa wana assume kwamba reli ya Kenya itakua tayari ilishafika Kampala. Wanachoongelea hapo ni what next after Kampala. Kulingana na hio discussion, Kenya ingeprefere Uganda wajenge kwenda rwanda kwanza na Uganda priority yao ni S.sudan...in that case Kenya will loose out to Tz in a race to get to Rwanda+DRC...comprende???
 
ebu weka na bomba la TAZAMA... alafu weka na mradi ujao wa kutoka kongo rwanda to tanzania... ili apate hasira zaidi
Hahahaha. Huu mradi wa Uganda is big deal. Naona kwa muono wangu kama ifuatavyo.

upload_2018-1-24_12-39-32.png

tazama-4.png
 
Current crude price for heavy oil $65/barrel, but lets use a flat rate of $60/barrel.

60x750 million barrels that's $45Billion USD

The pipeline to Lamu + oil depo = $2.5B
Taxes and fee charges of lets say $15/barrel will be somewhere near $15B .
Other logistical expenses like electricity, insuarance,salaries =$2B

That will leave at least $26.5B as profit for the oil companies, which makes it a worthy investment , this is before the possibility of S.Sudan joining also there could be more oil discoveries near Lamu.

Remember we also plan to buy oil blocks from tullow and total , so there could be more profits for us
View attachment 683463

Pipeline itajengwa mpende msipende
Hakuna guarantee oil prices will remain the same by the time you start exporting oil through Lokichar-Lamu pipeline.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
TE]
Kwa taarifa kutoka kwa wakenya wenzako nikuwa wanalalamika kuwa SGR Uganda wanaipekeleka South Sudan. Museveni hafulukuti kwa TZ. Mmekwisha habari. Muda wowote mnaweza ngoa bomba kama mlivyofanya kwenye reli. Pata habari kutoka kwa wakenya wanaojitambua. Itakuchoma ila vumilia. View attachment 683485 View attachment 683486 View attachment 683487 View attachment 683488 View attachment 683489

Sasa wewe unatuletea dezo dezo za kwengine, shiriki kwenye mada za JF na WanaJF wenzako, hata mimi hapa nikitaka naweza nikaleta screenshot za Watanzania kwenye forums zingine, lakini inabidi nishiriki kwa kila forum kivyake.
 
Although I may be wrong and I stand to be corrected. Theory yangu ni kwamba Wakenya wanapenda nchi yao sana na hawawezi kamwe kufanya jambo linaloweza kushusha hadhi yao.Ukitupilia mbali corruption na tribalism, Wakenya bado wanapenda nchi yao ndio maana tuko na amani ilhali nchi zingine hazina amani. KE kuunganisha pipeline na Uganda ni jambo la aibu sana kwetu. Uganda ndio inastahili kututegemea sisi sio sisi kutegemea nchi ndogo kama hio ( by the way, mimi sina chuki na Uganda) Wakenya wengi wanahisi kwamba ni vyema serikali yetu itafute pesa ijenge pipeline hadi Lamu ata kama Lamu ni mbali kushinda Hoima. Natumai sasa umeanza kuelewa psychology ya Wakenya.
Mnapenda nchi yenu alafu umesema mnakula rushwa na makitu gani? Tribalism...sasa hapo upendo upo wapi..as nafahamu mtu anayependa nchi yake..hawezi penda rushwa wala ukabila..!! Nyie mnachekesha sana
 
Sasa wewe unatuletea dezo dezo za kwengine, shiriki kwenye mada za JF na WanaJF wenzako, hata mimi hapa nikitaka naweza nikaleta screenshot za Watanzania kwenye forums zingine, lakini inabidi nishiriki kwa kila forum kivyake.
Sindano imeingia sehemu yake husika. SS ni Museveni. Acha ufala wewe
Wakenya wenzako wasomi wanalitambua
 
Although I may be wrong and I stand to be corrected. Theory yangu ni kwamba Wakenya wanapenda nchi yao sana na hawawezi kamwe kufanya jambo linaloweza kushusha hadhi yao.Ukitupilia mbali corruption na tribalism, Wakenya bado wanapenda nchi yao ndio maana tuko na amani ilhali nchi zingine hazina amani. KE kuunganisha pipeline na Uganda ni jambo la aibu sana kwetu. Uganda ndio inastahili kututegemea sisi sio sisi kutegemea nchi ndogo kama hio ( by the way, mimi sina chuki na Uganda) Wakenya wengi wanahisi kwamba ni vyema serikali yetu itafute pesa ijenge pipeline hadi Lamu ata kama Lamu ni mbali kushinda Hoima. Natumai sasa umeanza kuelewa psychology ya Wakenya.
It's not just about patriotism. It's also about looking at the future. Imagine we discover oil in other blocks within kenya especially in the Eastern parts like garrisa. Sa tutaitaji kuipeleka UG kutoka huko? Lamu area is also a prospecting area. Going the UG route would seem stupid when you think about it this way.
 
Hilo ndilo linalonishangaza, Uganda kiwango kilichogundulika ni 6.5B barrels, lakini recovable ni 33% ambayo ni 2B. barrels. Kenya kiwango kilichogundulika ni 800M.barrels, lakini recovable wanasema ni 750M. Barrels, sielewi lengo lao ni lipi hawa, kupenda kuwashusha wengine na wao kujikweza,
Nimesoma juzi gazeti la kenya wanasema kenya 600M hawaeleweki nao hawa
 
Current crude price for heavy oil $65/barrel, but lets use a flat rate of $60/barrel.

60x750 million barrels that's $45Billion USD

The pipeline to Lamu + oil depo = $2.5B
Taxes and fee charges of lets say $15/barrel will be somewhere near $15B .
Other logistical expenses like electricity, insuarance,salaries =$2B

That will leave at least $26.5B as profit for the oil companies, which makes it a worthy investment , this is before the possibility of S.Sudan joining also there could be more oil discoveries near Lamu.

Remember we also plan to buy oil blocks from tullow and total , so there could be more profits for us
View attachment 683463

Pipeline itajengwa mpende msipende
Kakopeni hela tena kwa wachina waichukue bandari ya mombasa kama compasantion ya deni Lao kama Sri Lanka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wazee wa kujikweza kazi mnaloo buda
 
Wakenya mnajipa hope sana wanachofanya total ni Ku win pande zote, Mipango Imeshasetiwa Tz kitambo sana na Mikataba ishasainiwa sasa huko Kenya amekuja tu, wameongea na kuweka commitment na sio lazima iwe fulfilled, wala hawajasaini kitu halafu bado mnachekacheka
 
Achana na incase
You have already lost. Forget about SS to join your pipeline. Magufuri is a game changer. Hivi mnakumbuka mlivyotaka kuwa support EU kwenye swala LA EPA nahuku walikuwa wamewawekea vikwazo SS name Burundi? Museveni na Magufuli ndowalisimama kuwakataa nakuwambia wasiingilie SS aunt Burundi kwani mambo ya Africa tutayamaliza sisi
Mnafiki Uhuru Kenyatta hakuuzulia hicho kikao. Ruto alikuja lakini alinuna mutation wote. Leo hii SS nimjinga kukubali kuungana nanyie nyangau mnaemkumbatia mzungu?? Think twice
Tatizo ni kwamba watz wengi mko na emotions nyingi sana, arguments zenu haziangalii beyond emotions .. Sasa unatumia siasa za EPA kufanya arguments za pipeline, like seriously!

Sudan inanunua bidhaa nyingi sana za Kenya, ilhali kuna arrest warrant ya rais wao, Juzi rais wa Sudan alitangaza mpango wa reli hadi ethiopia na S.Sudan, tena iunganishwe hadi uganda na kenya... Kumbuka Sudan na S.sudan haziskizani vizuri...lakini hii ni biashara, mafeelings eka kando! Tumia logic instead
wp_ss_20180124_0004.png
wp_ss_20180124_0003.png
 
Back
Top Bottom