Tatizo ni kwamba watz wengi mko na emotions nyingi sana, arguments zenu haziangalii beyond emotions .. Sasa unatumia siasa za EPA kufanya arguments za pipeline, like seriously!
Sudan inanunua bidhaa nyingi sana za Kenya, ilhali kuna arrest warrant ya rais wao, Juzi rais wa Sudan alitangaza mpango wa reli hadi ethiopia na S.Sudan... Kumbuka Sudan na S.sudan haziskizani vizuri...lakini hii ni biashara, mafeelings eka kando! Tumia logic instead
View attachment 683583 View attachment 683584
hapa naona mtu akilia sababu total hawezi jenga mbili,najiuliza mbona anatoa commitment kwa UK ama anazingua tuuTatizo ni kwamba watz wengi mko na emotions nyingi sana, arguments zenu haziangalii beyond emotions .. Sasa unatumia siasa za EPA kufanya arguments za pipeline, like seriously!