Total yafikia makubaliano na Uganda, yakaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kupitia Tanzania

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917

Uganda na kampuni ya Total ya ufaransa zimefikia makubaliano ambayo yanaifanya kampuni hiyo ya mafuta na washirika wake kukaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kwenda nchi ya jirani ya Tanzania, kampuni hiyo ilisema Ijumaa.

Uganda iligundua hifadhi ya mafuta miaka 14 iliyopita lakini uzalishaji wa kibiashara umechelewa kutokana na ukosefu wa miundombine kama bomba la kuyasafirisha.

Bomba la kilomita 1445 linagharimu dola bilioni 3.5 litapitia nchi jirani ya Tanzania kwenda bandari ya Tanga.

Total imesema imefikia makubaliano na Uganda kulinda haki na majukumu yake kwenye ujenzi wa bomba hilo na uendeshaji wake.

“ Leo tumefikia hatua kubwa ambayo inafungua njia kwenye maamuzi ya mwisho ya uwekezaji kwenye miezi ijayo ” Amesema Pierre Jessua, mkurugenzi mtendaji wa Total Uganda
========

KAMPALA, Sept 11 (Reuters) - Uganda and France’s Total have reached an agreement that will bring the oil firm and its partners closer to starting construction of a crude pipeline to neighbouring Tanzania, the company’s local unit said on Friday.

Uganda discovered crude oil reserves about 14 years ago but commercial production has been delayed partly because of a lack of infrastructure, such as an export pipeline.

The 1,445-km (900-mile) East African Crude Oil Pipeline, costing $3.5 billion, would pass through neighbouring Tanzania to the Indian Ocean port of Tanga.

Total said it had reached an agreement with Uganda protecting its rights and obligations in the pipeline’s construction and operation - known as the host government agreement.

“We have today reached major milestones which pave the way to the Final Investment Decision in the coming months,” Pierre Jessua, Managing Director of Total E&P Uganda, said in a statement.

“We now look forward to concluding a similar HGA (host government agreement) with the Government of Tanzania and to completing the tendering process for all major engineering, procurement and construction contracts.”

Total said a meeting between President Yoweri Museveni and its Chief Executive Officer Patrick Pouyanné also agreed to conditions allowing Uganda National Oil Company to join the project.

Total is the major shareholder in Uganda’s oil fields after agreeing in April to buy Tullow Oil’s entire stake in jointly-held onshore fields in Uganda for $575 million.

Tullow said this week it was confident of finalising the sale in fourth quarter of this year.

The other partner in the 230,000 barrel-per-day project is China’s CNOOC.

The government said last year once pipeline construction begins, it would take 2-1/2 to three years to complete.

Uganda discovered crude oil reserves estimated at 6 billion barrels in the Albertine rift basin near the border with the Democratic Republic of Congo in 2006. (Reporting by Elias Biryabarema; Writing by George Obulutsa; Editing by Andrew Cawthorne)

Uganda, Total reach agreement bringing crude pipeline construction closer - ET EnergyWorld

Yoweri 1.PNG

Yoweri 2.PNG

MY TAKE
Paving a way for Final investment Decision! BTW what happened to Lamu-Lokichar pipeline?

I see Magufuli name all over, what does that mean?
 
Hahaha. Hii pipeline bado tunapewa hadithi za abunuasi?
 
Nyie ni wezi tu. Mlitunyang'anya hii pipeline kwa sababu ya wivu na majungu. Lakini hata ikikamilika, bado hamtawahi kutufikia kiuchumi.
 
Lamu-Lokichar pipeline ilienda na Peter keter?

The last time i head him speaking

Nyie mtapata asilimia kidogo ya pesa kutoka kwa hio pipeline. Sijui unakosa usingizi kwa nini? Pipeline ya Kenya hatuna haraka nayo. Tutaijenga polepole
 
kila siku tutapata $12.20 for each barrel transported and the pipeline is to transport over 216,000 barrels of crude oil! That is aside the gas we will sell to them to heat their waxy crude! Believe me Tanzania will be getting over $4 mln each day considering we r also investing in their refinery!
 
kila siku tutapata $12 for each barrel transported and the pipeline is to transport over 250,000 barrels of crude oil! that is aside the gas we will sell to them to heat their waxy crude!
Magufuli na kisirani zake anaweza kataa kutia saini
 
😀 😀 😀 a little correction

kila siku tutapata $12.20 for each barrel transported and the pipeline is to transport over 216,000 barrels of crude oil! That is aside the gas we will sell to them to heat their waxy crude! Believe me Tanzania will be getting over $4 mln each day considering we r also investing in their refinery!
 
😀 😀 😀 a little correction

kila siku tutapata $12.20 for each barrel transported and the pipeline is to transport over 216,000 barrels of crude oil! That is aside the gas we will sell to them to heat their waxy crude! Believe me Tanzania will be getting over $4 mln each day considering we r also investing in their refinery!
Napinga kuwa itafika $4 million kwa siku. Nadhani haitazidi $3.5 million kwa siku hata ukijumuisha mapato ya uuzaji wa gesi. Kwa mwaka mtapata:
$3.5 million * 364= $1.274 billion
Sio pesa kidogo.
 
Mind we have also committed to acquire our stake in refinery building in Uganda! So the way u look at it even that $3.5 mln per day is not small! No reason to argue my friend as DRC n South Sudan will also join this same pipeline!

A brand new oil storage and discharge terminal at Chongoleani is to be built too!

EhZenA6WsAs4AMi

South Sudan is in negotiation with Uganda and Tanzania to use Hoima-Tanga pipeline after DRC Congo
😀 😀 😀 😀
 
Mind we have also committed to acquire our stake in refinery building in Uganda! So the way u look at it even that $3.5 mln per day is not small! No reason to argue my friend as DRC n South Sudan will also join this same pipeline!

South Sudan is in negotiation with Uganda and Tanzania to use Hoima-Tanga pipeline after DRC Congo
😀 😀 😀 😀

Hii porojo ya pipeline tulipigiwa toka 2017 na mradi ukazinduliwa na Magufuli na Museveni huko Tanga, tuliambiwa 2019 pipe itakuwa tayari. Mpaka leo ni porojo tupu.
 
Magufuli na kisirani zake anaweza kataa kutia saini

Nasikia kule Lokchar mmewaongezea miaka miwili tena ya kutafuta mafuta.. wakati mlisha anza kuyauza. Mpaka inafikia siku mnauza rasmi yatakuwa yameshaisha huko.. Na hivi kuna hiyo ndoa ya utatu ya KPC, KRC na KPA sioni mkiyafaidi hayo mafuta yenyu..ni ya mchina tayari, chemChina.
 
Mind we have also committed to acquire our stake in refinery building in Uganda! So the way u look at it even that $3.5 mln per day is not small! No reason to argue my friend as DRC n South Sudan will also join this same pipeline!

A brand new oil storage and discharge terminal at Chongoleani too

EhZenA6WsAs4AMi

South Sudan is in negotiation with Uganda and Tanzania to use Hoima-Tanga pipeline after DRC Congo
😀 😀 😀 😀
Mkifaulu kuimplement kila kitu kama mlivyopanga bila bugdha basi mtatengeneza pesa nono. Ila kawaida kwenye maisha vitu huwa haviendi kama vilivyopangwa.
 
Nyie ni wezi tu. Mlitunyang'anya hii pipeline kwa sababu ya wivu na majungu. Lakini hata ikikamilika, bado hamtawahi kutufikia kiuchumi.
Upo Kunya mkuu, ninyi ni majirani zetu Tunawapenda, lkn tuwe tunaambiana ukweli, hiyo mikopo iliyofikia kiwango cha juuu kabisa nchini mwenu, inahatarisha ustawi wenu hapo Kwenu,

Bado kidogo mnafilisiwa,
 
Mkifaulu kuimplement kila kitu kama mlivyopanga bila bugdha basi mtatengeneza pesa nono. Ila kawaida kwenye maisha vitu huwa haviendi kama vilivyopangwa.

Look at the proximities of Juba and Eastern DRC lake Albert's oil reserves n tell me why will they not join EACOP? mind u Total is in both places!

1017_MappaUgandaPipeline-EN.png
 
Nasikia kule Lokchar mmewaongezea miaka miwili tena ya kutafuta mafuta.. wakati mlisha anza kuyauza. Mpaka inafikia siku mnauza rasmi yatakuwa yameshaisha huko.. Na hivi kuna hiyo ndoa ya utatu ya KPC, KRC na KPA sioni mkiyafaidi hayo mafuta yenyu..ni ya mchina tayari, chemChina.
Mimi huwa napinga ujenzi wa pipeline Kenya. Kenya sisi hatuhitaji pipeline. Sisi tunahitaji a mini refinery. Yaani karefinery kadogo tu cha matumizi ya ndani. Hii itafanya tuwache kupoteza dola nyingi tunazotumia kuimport mafuta kutoka UAE. Hizo tunaweza kuzihifadhi na kuzitumia kwa shughuli nyingine muhimu. Bei ya mafuta pia itawacha kuyumbayumba hapa Kenya na itakuwa imara kwa sababu mafuta itakuwa inazalishwa hapa Kenya bila ya kujali kama Marekani inapigana na Iran. Bei ya mafuta ya soko la kimataifa huwa inayumba kwa habari za kishenzi sana, kwa mfano Rais wa Marekani akionya Iran kuwa ataibomb bei ya mafuta inapanda. Refinery itatusaidia kushinda pipeline. Sasa hivi sababu zinazotolewa za kukataa kujenga refinery ni kuwa Kenya ina mafuta kidogo na kwa hivyo kujenga refinery ya size ya kawaida ni pesa nyingi ila mimi nasema sio lazima tujenge refinery kubwa. Siku hizi kuna teknolojia mpya ambayo inawezesha nchi kujenga refinery ndogo tu bila kutumia pesa nyingi.
 
BTW what's ur opinion as far as ur Mombasa-Kisumu pipeline is concerned? While u cover ur investment costs if this thing is to start being built next year? and completed say 2024?

Don't u think u should start counting ur Mombasa-Kisumu pipeline as another tembo mweupe?
 
Mimi huwa napinga ujenzi wa pipeline Kenya. Kenya sisi hatuhitaji pipeline. Sisi tunahitaji a mini refinery. Yaani karefinery kadogo tu cha matumizi ya ndani. Hii itafanya tuwache kupoteza dola nyingi tunazotumia kuimport mafuta kutoka UAE. Hizo tunaweza kuzihifadhi na kuzitumia kwa shughuli nyingine muhimu. Bei ya mafuta pia itawacha kuyumbayumba hapa Kenya na itakuwa imara kwa sababu mafuta itakuwa inazalishwa hapa Kenya bila ya kujali kama Marekani inapigana na Iran. Bei ya mafuta ya soko la kimataifa huwa inayumba kwa habari za kishenzi sana, kwa mfano Rais wa Marekani akionya Iran kuwa ataibomb bei ya mafuta inapanda. Refinery itatusaidia kushinda pipeline. Sasa hivi sababu zinazotolewa za kukataa kujenga refinery ni kuwa Kenya ina mafuta kidogo na kwa hivyo kujenga refinery ya size ya kawaida ni pesa nyingi ila mimi nasema sio lazima tujenge refinery kubwa. Siku hizi kuna teknolojia mpya ambayo inawezesha nchi kujenga refinery ndogo tu bila kutumia pesa nyingi.

Ni kweli mna reserve ndogo ya mafuta. Ila the problem ni kwamba je, hayo mafuta bado mna umiliki nayo hadi ndio muamue wenyewe kuwa mnataka kujenga hiyo refinery? Kumbuka kuna plan ya pipeline, but hapo hapo kuna tanker zinasomba hayo mafuta ghafi to the port and shipped abroad, hapo huoni tayari kuna mchezo ambao haueleweki? Kuna problem somewhere...
 
Back
Top Bottom