Total yafikia makubaliano na Uganda, yakaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kupitia Tanzania

La hasha. Mombasa-Kisumu pipeline is not a white elephant because even if we import fuel from Uganda, we will still use this pipeline to transport fuel from Kisumu to Nakuru, Nairobi and Mombasa. Pipeline transportation is more efficient than truck transportation
 
But for how long? Uganda is starting to build her refinery next year that will be able to refinery 60mln barrels per day! do u think they will continue to import refined oil from Mombasa? 😀 😀 😀 ☝ another tembo mweupe!
 
Viongozi wa Kenya wanapenda hii plan ya kuexport mafuta kwa sababu wanataka pesa ya haraka. Hawana haja na maslahi ya mwananchi wa kawaida. Hali hii ni sawia na ya Nigeria ambayo inazalisha crude oil nyingi kushinda nchi yoyote Afrika ila haina uwezo wa kurefine mafuta ya kutosha kwa hivyo inawabidi watumie dola zao kuimport mafuta kutoka nchi za Uarabuni. Hii ndio aibu kubwa ya nchi za Afrika ambapo viongozi hawajali maslahi ya wananchi, wanajali tumbo zao tu.
 
Nyie ni wezi tu. Mlitunyang'anya hii pipeline kwa sababu ya wivu na majungu. Lakini hata ikikamilika, bado hamtawahi kutufikia kiuchumi.
Wivu tuu ndio unakusumbueni nyie wa KE mnajiona bora sana.Ila sasa tumepata chuma JPM anawanyoosha kweli,vp bado mmejifungia na Covid 19 sie huku tunapeta tuu kwa kuendelea kuchapa kazi.Hiyo Covid imefutika huku.
 
But for how long? Uganda is starting to build her refinery next year that will be able to refinery 60mln barrels per day! do u think they will continue to import refined oil from Mombasa? 😀 😀 😀 ☝ another tembo mweupe!
This pipeline was not built to transport oil to Uganda. That was not the aim of the pipeline. Kenya wanted to remove trucks from the road and use pipeline to transport fuel from Mombasa to Kisumu. Trucks used to cause accidents in Kenya and they are more expensive than pipeline. That pipeline was for internal use. We have only started exporting oil to Uganda from Kisumu two months ago. Even if we stop exporting oil to Uganda, this pipeline will still be used to supply oil to Nakuru, Nairobi, Mombasa and Kisumu because in Kenya we are trying to remove fuel tankers from the road.
 
Nyie ni wezi tu. Mlitunyang'anya hii pipeline kwa sababu ya wivu na majungu. Lakini hata ikikamilika, bado hamtawahi kutufikia kiuchumi.

Sasa kama mmezubaa mlitaka kwenye biashara tuwachekee? Hiyo haipo mkiweka tunaweka mkitoa tunatoa
 

Kwa hapo nimekuelewa sana, hiyo changamoto mko nayo sana round hii.. sijui mtatoka vipi hapo maana ni kila sekta kuna hiyo hali ya viongozi kupiga pesa ndefu bila kujali raia wake. Tunashukuru upande wetu huku angalau mambo yanaenda kwa kujali maslahi ya wengi.
 
Wivu tuu ndio unakusumbueni nyie wa KE mnajiona bora sana.Ila sasa tumepata chuma JPM anawanyoosha kweli,vp bado mmejifungia na Covid 19 sie huku tunapeta tuu kwa kuendelea kuchapa kazi.Hiyo Covid imefutika huku.
Off-topic.
 
Ila ile trilioni 1.5 bado haina maelezo. Afrika ni Afrika tu.
 
still a tembo mweupe as once Uganda starts refining oil there is no way oil from middle east will be cheaper than Uganda's!


Aiports along ECOP in Tanzania
Bukoba Airport
Chato Airport (currently U/C)
Mwanza international Airport
Tabora Airport (currently under expansion)
Kahama Airstrip
Shinyanga Airport (currently under expansion)
upcoming Msalato Airport
Dodoma Airport (currently under expansion)
Ngerengere Airforce Airport
Kilimanjaro International Airport
Tanga airport (currently under expansion)

Ports along the EACOP in Tanzania
Mwanza port
Tanga port (currently under expansion)

Railways along the EACOP in Tanzania
Dar-Isaka MGR (over 99% revamped)
Tanga-Ruvu-Isaka MGR (over 99% revamped)
Dar-Mwanza electrical SGR (Dar-Morogoro over 90%, Morogoro-Dodoma-makutupora over 40%, Mwanza-Isaka about to be launched)
Tanga-Moshi-Arusha-Mara MGR(Tanga-Moshi-Arusha 100 revamped, Arusha-Mara MGR (in planning stages))
 
Ila ile trilioni 1.5 bado haina maelezo. Afrika ni Afrika tu.

Mwambie CAG alieisema akupe maelezo yake nadhani alishalisemea hilo mbele ya Rais. Halafu sio kila kitu utaambiwa, hata ruzuku za vyama sio hesabu zote wanachama wanakuwa wana ambiwa zimetumika vipi.

Rudi kwenye mada kamanda wa net.
 
We mzee una tabu sana, tuonyeshe wapi mombasa nairobi pipeline ilijengwa kw ajili ya ug..si utakusha kw kijiba cha roho wewe jamani
 
Mkifaulu kuimplement kila kitu kama mlivyopanga bila bugdha basi mtatengeneza pesa nono. Ila kawaida kwenye maisha vitu huwa haviendi kama vilivyopangwa.
Uswahilini tunasema "dua la kuku halimpati mwewe"!
 
Barakoa mtindo moja. Uganda na nchi za Afrika kwa nini hawataki kujifunza kutoka Tanzania? Haka ka Covid-19 ni kaugonjwa kadogo tu ..... ..... .... JPM.

BTW lazima wamtaje JPM maana hilo jina limekuwa sindano kwa majiranizetu na dunia yote kwa jumla hasa wale wasiotutakia mema.

Ni wakati wa kutangaza vivuto vyetu vikubwa kwa nguvu zote:

1. Mount Kilimanjaro
2. Serengeti
3. Ngorongoro (Olduvai Gorge)
 
How will refined oil from Uganda be transported from Kisumu to Nairobi and Mombasa without using the pipeline? Umefikiria hilo kweli?
 
How will oil from Uganda be transported from Kisumu to Mombasa without using the pipeline? Umefikiria hilo kweli?
If reverse flow is considered but with that pipeline without leakage sensors forget it i don't think a reverse option was considered! That pipeline is a one direction flow i have checked already!
 
If reverse flow is considered but with that pipeline without leakage sensors forget it i don't think a reverse option was considered! That pipeline is a one direction flow i have checked already!
It can be fixed. We just did not have the money to fix it but it will be cheaper to fix it than build a new pipeline.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…