Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total
Way wa Total ambao ni ma Sterling watatu wa vídeo maalum ya Total The Jerusaléma Challenge, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, katikati, Meneja Mtandao wa Vituo vya Mafuta vya Total, Network Manager, Mariamme Saw (kulia) na Mkurugenzi wa sheria na mahusiano wa Total, Tanzania, Bi. Marsha Msuya Kileo, katika hafla ya kuhitimisha wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Wiki hiyo imehitimishwa kwa Total Kurekodi Video maalum ya wimbo huo.
Three The Hard Way wa Total ambao ni ma Sterling watatu wa vídeo maalum ya Total The Jerusaléma Challenge, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, katikati, Meneja Mtandao wa Vituo vya Mafuta vya Total, Network Manager, Mariamme Saw (kulia) na Mkurugenzi wa sheria na mahusiano wa Total, Tanzania, Bi. Marsha Msuya Kileo, katika hafla ya kuhitimisha wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Wiki hiyo imehitimishwa kwa Total Kurekodi Video maalum ya wimbo huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, katikati, Meneja Mtandao wa Vituo vya Mafuta vya Total, Network Manager, Mariamme Saw (kulia) na Mkurugenzi wa sheria na mahusiano wa Total, Tanzania, Bi. Marsha Msuya Kileo, wakiselebuka ndani y amoja ya maduka ya Bonjour yaliyopo kwenye kila kituo cha Total, katika hafla ya kuhitimisha wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Wiki hiyo imehitimishwa kwa Total Kurekodi Video maalum ya wimbo wa The Jerusaléma Challenge.
TOTAL, YAHITIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUSELEBUKA NA JERUSALEMA DANCE CHALLENGE, WAAHIDI WATANZANIA ZAWADI YA X-MASS NA MWAKA MPYA
Kampuni ya mafuta ya Total, ambayo ndio kampuni inayoongoza kwenye uuzaji na usambazaji wa mafuta nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 50, imehitimisha maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa kuwathamini zaidi wateja wake kuwa ni zaidi ya wateja, sasa inawaita ni washirika wa Total, na katika kufunga mwaka, inawaandalia zawadi maalumu ya kufungia mwaka ambayo itatolewa hivi karibuni, japo haikutajwa itakuwa ni zawadi gani.
Akizungumza katika hafla ya kuhitimisha wiki hiyo ya huduma kwa wateja ya Total, Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp alisema, “Total tunaamini na kutambua kuwa wateja wetu ni zaidi ya wateja, ni washirika wetu. Wao ndio chanzo cha biashara na mafanikio ya Total nchini. Tunawashukuru sana kwa kuendelea kutuunga mkono na kutuamini. Tunawakaribisha wote kutupa mawazo na maoni yenu juu ya huduma zetu ili tupate kuziboresha na kuwapa huduma bora zaidi.”
Aidha aliongeza kuwa, Total imekuwa ya mafanikio makubwa sana kutokana na jitihada za wafanyakazi wa Total na kuwashukuru wafanyakazi wa Total kwa kujituma katika kuhakikisha kuwa Total imekuwa ya mafanikio.
Kwa upande wake, Mkufunzi wa Vituo vya Total, Msafiri Josephat Shigella, amesema lengo la maadhimishoya wiki ya mteja ni kutoa fursa kwa uongozi na menejmenti ya Total, kukutana ana kwa ana na wateja, kuwasikiliza na kujua mahitaji yao.
Mkurugenzi wa Mtandao wa vituo vya mafuta vya Total, Marriame Saw, amewashukuru sana wateja wa Total kwa kuichagua Total na kuahidi kuendelea kupanua mtandao wa vituo vya mafuta vya Total ambayo kwa sasa, tayari wanavyo vituo zaidi ya 100.
Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa Total. Marsha Msuya Kileo, ameendelea kuwasisitiza watumia wa mafuta, waendelee kutumia mafuta ya Total,yenye kiambata cha excellium, ili kufaidi mafuta na vilaini na huduma zenye ubora wa hali ya juu.
Kwa upande wa wateja, wateja waliohojiwa, wamesema mafuta ya vituo vya Total yana tofauti fulani na mafuta mengine yote, ila pia vituo vya Total, vina muonekano fulani unaokufanya wewe dereva kujisikia vizuri kujaza mafuta Total, pia unahudumiwa vizuri.
Kuhusu Total Tanzania
Total Tanzania ni kampuni ya Mafuta ya petroli iliingia nchini Tanzania tangu mwaka1969. Biashara ya Total Tanzania inalenga katika kutoa huduma za usambazaji na uuzaji wa mafuta ya petroli, dizeli vilainishi na bidhaa za mafuta, ambayo ni kuuzwa katika vituo mbalimbali vya mafuta na pia katika idara maalum ndani ya wake shirika hilo. Total Tanzania Limited inatumia utaalamu wake katika kutoa huduma za kuaminika kwa wateja wake kwa mfumo wa kadi maalum “ Kadi ya Total” kwa ajili ya ununuzi wa mafuta na huduma mbalimbali magari katika vituo vya mafuta vya Total Katika kujitanua kibiashara kuelekea kwenye matumizi ya nishati mbadala, kampuni ya Total Tanzania Limited kupitia mradi wake wa Total Access to Solar (TATS) project, inasambaza taa za nishati jua zinazoitwa AWANGO kwa jamii ya Watanzania
Pia kampuni ya Total imenunua kampuni ya GAPCO Tanzania pamoja na kiwanda cha kutengeneza vilainishi nchini ili kuzidi kuwafikiwa Watanzania kwa urahisi na kuwapa huduma na bidhaa zenye ubora.
Kuhusu kitengo cha masoko na huduma za Total
Kitengo cha masoko na huduma za Total hutengeneza na kuuza bidha za nishati ya mafuta na gesi, pamoja na huduma zote husika. Wafanyakazi wa Total takribani 32,000 wapo katika nchi 107 na bidhaa na huduma za Total zipo katika nchi 150. Kila siku Total inatoa huduma kwa watu zaidi ya milioni 8 katika vituo vyake vya mafuta duniani ambavyo kwa idadi ni zaidi ya vituo 15,600 katika nchi 71. Ikiwa na kampuni yenye nafasi ya nne katika usambazaji wa bidha za oili na kampuni inayoongoza kwa usambazaji wa petroli barani Afrika, kitengo cha masoko cha Total kina maeneo ya kazi (sites) duniani kote ambapo huzalisha bidha za oili, bitumen, viambata, mafuta maalum zinazo endeleza ukuaji wake.
Kuhusu Kampuni ya Total
Total ni kampuni ya kimataifa ya nishati ya mafuta, gesi na umeme. Ina wafanyakazi 100 000 wenye kuchangia dhima ya kampuni : kuzalisha nishati bora na safi na salama, na kuizalisha kwa ufanisi zaidi, nguvu zaidi na ubunifu wa hali ya juu, huku ikiwa ni nishati ya gharama nafuu ili watu wengi waweze kuimudu. Total ipo katika nchi zaidi ya 130, na inafanya kila linalowezekana kuwa wazalishaji wakuu wa nishati bora na salama.
Paskali

Wafanyakazi wa Total Tanzania katika picha ya ku pose na bidhaa za vilainishi vya Total, wakati wa hafla ya kuhitimisha wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Wiki hiyo imehitimishwa kwa Total Kurekodi Video maalum ya wimbo wa The Jerusaléma Challenge.

Wafanyakazi wa Total Tanzania wakiselebuka, wakati wa hafla ya kuhitimisha wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Wiki hiyo imehitimishwa kwa Total Kurekodi Video maalum ya wimbo wa The Jerusaléma Challenge.

Wafanyakazi wa Total Tanzania, katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, ( katikati mwenye kofia nyekundu) wakati wa kuhitimisha wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yameadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali na kuhimishwa leo kwa kurekodi Video maalum ya wimbo wa The Jerusaléma Challenge