Total yazidi kufanya mambo kwa ajili ya Watanzania! Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja; mteja ni mshirika

p
 
Kabla ya kusifia sana naomba unipe faida ya hicho kiambata excellium kwenye mafuta?? Na mafuta yakikikosa yanakosaje ubora?
Mkuu Gallius , karibu pande hizi

P
 
Hongereni total,Ila sasa muwe mnakagua na magari mabovu kama madaladala maana yale yanabeba roho za watu wengi sio hayo mapya tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…