mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
kwani wanajifunga? au wanagawaje hayo magoliTimu inacheza kirahisi huku ikiwagawia Yanga magoli. Yanga nao wanajifanya hawashangilii.
Mechi ijayo mnao wale! Tutaona kama mtachomoka...Mbona Tokea Kitambo tu Tumeshajua Kuwa Litoto Africa ni Saccos Ya Yanga...
Walikusumbueni sana..... wale watoto....!Ndio maana wakaitwa
Watoto.
Sikuzote watoto wasumbufuWalikusumbueni sana..... wale watoto....!
Mnakumbuka?
Naihifadhi hii kauli.Mechi ijayo mnao wale! Tutaona kama mtachomoka...
Nami naihifadhi yako mtaniNaihifadhi hii kauli.