Toto Africa kujifanya watoto wa Yanga kunaigharimu

Toto Africa kujifanya watoto wa Yanga kunaigharimu

Undugu wa Yanga na Toto sio wa mchezo mchezo, kwani ukifunga goli kushangilia lazima??
 
Yanga leo wameupiga mwingi sana Mkuu acha unazi wa simba Kiongoz
 
Leo Mashabiki wa Simba walikuwa wanacheki gemu utafikiri walikuwa wana lamba ndimu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka wa jana tu tuweke kumbukumbu vizuri hao watoto waliwachezesha mchezo wao nanyi mkaanza kukata mauno.
 
Ukitaka kuona upumbavu wa Toto fc wacheze na Yeboyebo....wapumbavu Sana.
 
Mi niliwaambia kuwa Toto ni jipu wapenzi wa mpira Mwanza hawahitaji timu kama Toto.Inatakiwa timu inayojisimamia na siyo ikija timu ya Yanga inajifanya mdebwedo!Nadhani haiwahitaji wapenzi wa mpira Mwanza
 
Back
Top Bottom