Toto Africans wanaipenda rangi ya kijani kuliko wanavyojipenda binafsi wao wenyewe

Toto Africans wanaipenda rangi ya kijani kuliko wanavyojipenda binafsi wao wenyewe

Baraghash

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
2,713
Reaction score
1,790
Toto Afrcans wnaipenda rangi ya kijani kuliko wanavyojipenda binafsi wao wenyewe. Kupagawishwa na rangi na mapenzi yao kwa Yanga wameona bora washuke daraja lakini wakaipa ubingwa Yanga kuliko Ubingwa kwenda kwenye Timu Rangi zake zinapingana na zile za CCM
 
Toto kila mwaka wanatumiwa kama toilet paper na Yebo, hawana maana..
 
Hii timu bora hata isipande daraja tu,maana ikishapanda tayari yanga ina pointi sita
 
Hii timu bora hata isipande daraja tu,maana ikishapanda tayari yanga ina pointi sita
1c0e4b740d0c039240d5eeb2c20b3714.jpg
 
Back
Top Bottom