MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Kweli Kenya mmekosa warembo....sasa huyu si kama mamantilie wa pale Buguruni sokoni.
Duh Wabongo mnaishi maisha magumu sana na tabu nyingi, stress zitawaua, hamna chochote ambacho kinawapitia machoni bila kuingiza chuki na majungu. Hivi mlifikia huku lini, zamani tulikua tunaambiwa Tanzania kwa wastaarabu, lakini vitoto vya bongo vya leo full majungu na milegezo hapo Dar.
Mwanaume kamili hufai kuongea mabaya kuhusu urembo wa mwanamke, na ndio maana wanawake wa Bongo wanawatoroka nyie na kuolewa na wageni. Maana mumeshindwa na majukumu ya kiume. Kama dume unafaa kutafuta mazuri kwa mwanamke na sio kukomaa na mabaya tu.
Mambo kama hayo hupelekea kwa wanaume kuishiwa na nguvu za kiume. Ukiwa mwanaume ambaye kazi ni kukosoa nakuhakikishia hata kitandani hutamudu kumridhisha mwanamke yeyote yule maana akili zako zimeganda na unawaza tu mabaya kuhusu mpenzi wako mliye naye kitandani. Mara matiti/nyonyo, mara miguu, mara hiki mara kile, unakuta hata dushe lako/uume unagoma maana akili zilishavurugika huoni chochote kizuri. Mwanaume unalalamika kama mwanamke, hamna tofauti kati yenu hapo kitandani.
Dume la kweli unafaa kutafuta mazuri kwa mrembo wako, kumtunza na kumpa shughuli ya kweli kitandani bila kuzingatia mapungufu yake, maana ukitafuta mabaya utayakuta tu, kuanzia kwa nywele alivyosuka hadi kucha za miguu, ukiwa kama toto la kike kazi kutafuta mabaya utayaona tu. Hivyo wacha umbeya wa wanaume wa Dar, kula vyakula vya asili na umridhishe demu wako.