TOTOLUCK na ZOOM jirekebishe.. mnalostisha

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
366
TOTOLUCK na ZOOM nitagulize kutoa shukrani kwa juhudi mnazofanya kuleta matangazo ya kazi.

pamoja na hilo nina hojaifuatayo:

TOTOLUCK na ZOOM yako mnalostisha waombaji.
hebu elekeza namna gani watu wanatakiwa kuomba kupitia website yenu.
nimeona applications nyingi zimetupwa kapuni simply applications zilizotumwa kupitia website yenu zinakuwa blank - hakuna cha application letter wala CV. so hebu toeni elimu!!
otherwise watu wataishi kuhisi hawakuitwa interview kumbe kosa lipo kwenye website yenu.


Source: nimeona kwa HR manager online applications zikiwa blank na hivyo kutupwa kapuni.

mfano ni huu hapa chini:

From: inquiry@ZoomTanzania.com [mailto:inquiry@ZoomTanzania.com]
Sent: Tuesday, March 19, 2012 5:27 PM (edited)
To: xyz (edited)
Subject: Application for.......... Management Specialist Post

An inquiry regarding your listing on ZoomTanzania.com for xyzi):
Listing ID: 6965 - Xyx
This inquiry was sent from mdeogratias@hotmail.com . To reply to this inquiry, simply “Reply” as you would any other email and it will be addressed to the correct email address.
May I submit may application to you. Thanks for considering me
Brought to you by your friends at www.ZoomTanzania.com.
 
Ndio Maana kumbe siitwi eeeh
 
hopefully marekebisho yatafanyika
 
afadhali umenipa sababu why sikuwahi kuitwa kwenye itavyu hata moj!!!!!
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
lakini wamesaidia kTIKA KUPATA WAPI KUNA VACANCY KWA HIYO UNAWEZA BAADA YA HAPO UKATRACE PROPER E-MAIL CHANNEL AU WEBSITE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…