Kitu cha tatu!!!hahahaahdah siamini mkuu hii man u mwaka huu itatutoa roho
[emoji38][emoji38] ubarikiwe mkuu Mr Q nalala njaa leokwanini uende mbali huko wakat man u anashinda kiilaini hii gemu? tunaanza na trend ya mechi tano za mwisho ni mwendo wa lose wiin lose win lose win
View attachment 848686
tunaenda kwenyye head yo head zao wote wanaonekana wababe wanapo kuwa viwanja vya nyumbani
angalia hapa
View attachment 848687
Hitimisho: sioni sababu ya morinyo kupoteza hii mwchi. Akipoteza basi itakua kwa kutoka droo. Ahsante.
NB kwa wale wazee wa kuweka mikeka kuziacha odds za man u zipotee hivi hivi ni kosa la jinai mahakama ya wanakubet itakukuta na kosa la kujibu.
hahaha man u tuiweke kwenye viwango vya kina Bournemouth na west ham huko dah
Una moyo mgumu haujachochora? Yan wewe unaweza kulala na maitihahaha man u tuiweke kwenye viwango vya kina Bournemouth na west ham huko dah
bado mechi mojaSijui hatma ya Mourinho!?
Huu ndoo mpira sasa,, epl,, msiwe mnalopoka muwemnatunza maneno mengine hahaaaaakwanini uende mbali huko wakat man u anashinda kiilaini hii gemu? tunaanza na trend ya mechi tano za mwisho ni mwendo wa lose wiin lose win lose win
View attachment 848686
tunaenda kwenyye head yo head zao wote wanaonekana wababe wanapo kuwa viwanja vya nyumbani
angalia hapa
View attachment 848687
Hitimisho: sioni sababu ya morinyo kupoteza hii mwchi. Akipoteza basi itakua kwa kutoka droo. Ahsante.
NB kwa wale wazee wa kuweka mikeka kuziacha odds za man u zipotee hivi hivi ni kosa la jinai mahakama ya wanakubet itakukuta na kosa la kujibu.
Mi nadhani ni kama wachezaji wana mgomo baridi. Luke Shaw naona pekee amemuunga mkono.bado mechi moja
Mkuu ila watakua wamemuonea tu au ndo mwisho wa career yake,maana aliomba uongozi wafanye mabadiliko katika usajili wakamgomea.bado mechi moja