Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tottenham kashinda kama nilivyosemaMatokeo yapoje huko....
man city kachapwa mkuu nilisema mm.Hakuna anayependa kufungwa hususani nyumbani kwake. Lakini ndo hivyo tena wakizidiwa watafungwa tu hakuna namna nyengine.
na ikawa kweli.Jamani kwa jinsi ninavyoona Leo Tottenham anashinda sijui nyie mnaonaje.Sababu ni kuwa anataka asipate aibu katika uwanja wa nyumbani.