Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Shedafa hongera sana, naona mmeodoa gundu la kufungwa na top 4.
Asante sana mkuu, wala si utani. Hali ilionyesha vibaya, yaani hawa big 4 walikuwa tayari wamehasabu point kwa Spurs tayari. Na hasa hawa majirani zetu ngebe ilizidi, nimefurahi sana. Leo nina raha, kweli yaani we acha tu!
 
Kwa taarifa yako ''sisi Totenham" tumekuja chukua nafasi yenu, nyi ni mabakhili banaaa....

Mtachukua Namba NNE ni yenu, .. Mmeiva sana... na Bareth Bale, kijana amefika juu sana, Man. United wamchangia wamnunue!!!!
 
Tottenham iko safi bt wakubwa siku zote ndio wenye ligi coz kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji......
 
Tumepiga hodi rasmi last 16 ya championsleague kwa kumpiga mtu 3 bila.
Spurs 3. Werder Bremen 0
 
Jamani acheni hivo, tembeleeni na huku. Nasi leo tupo uwanjani, hata kama tumekufungeni tupongezeni hivo hivo. Mkuu Mbu tembelea na huku hata kama huyo bwa mdogo Fulham kachomoa kabla ya half time.
 
...heheheheheeeehe! ...hodi hodi wenyewe, mpo? Shedafa, Liverpool haoo wanakuja kwenye nafasi yao,
mna warm up bench tu....!

Nitawajulisha kina Wacha1, Arsene Wenger, Kweli na hata kina Peasant na Masa (wakishamaliza misiba yao mfululizo!)
wawe wanachangia huku!
 
Mmh!, kwa habari ya Liver kuja kwenye nafasi yao wala si mimi tu niliyemashakani. Hakuna hata mmoja aliyepo hapo juu ambaye yuko salama, ligi ya mwaka huu kizinguzungu kitupu. N'na wasiwasi wazee wa darajani ikiwa ndio bye bye hivyo, tena si ajabu maajabu zaidi yakazidi kutokea. Kuhusu kuwakaribisha waheshimiwa sana hao, wakaribishe waambia hawako peke yao kwenye ushindani nasi tupoooooooo!
 
Shedafa salam zako kutoka kwa Mbu tumezipata usife moyo kazi mnayo weekend hii kugonga msumari kwenye Jeneza la Carlo Acheni Lote lakini kama unavyojua manager wenu yuko wanted hapa chini ... .... good luck ..

sport_caro_harry_1178094a.jpg

The man of the moment for England ... ....
 
Wala usijali jirani yeye amejenga msingi wengine wataendeleza jengo, tunamshukuru alipotufikisha. Kuhusu w'end wala usiseme na jamaa keshajeruhiwa atakuwa mbogo kweli, nilipitia kule n'mbani kwenu nikaona tayari unajitangaza ubingwa kwa kushinga mechi moja tu. Nikasema jirani zangu kweli morali yao kali, wakishinda mechi moja tu wanasahau yaliyopita, wakija kufungwa wanasahau kama walishawahi kushinda. Ila mkijitahidi msimu huu mnaweza kuvuna!.
 
Waliojitangaza ubingwa si unawafahamu khe khe kheeee mambo yote May .... .. sisi tuna majeruhi kibao tunajaribu kuwaponya kwa kutumia placenta kutoka kwenye farasi kama Chelsick walivyofanya khe khe kheeeeeeeeeee
 
Hivi huyu bwa mdogo Nasri umemuahidi nini msimu huu, mbona kawa nuksi hivi?
 
Huyo kijana ni moto wa kuotea mbali anataka kumfunika Cesc .... . mie nafurahia hayo mashindano yao tu .... ...
 
...Ramsey nae kaelekea Notts Forest (Championship) kujifua apate tena match fitness,
akirudi nae aaah...mswano!
 
Msaada next weekend against Chelsea
 
Belo kwani bado unamuogopa Chelsea, nilifikiri hakutishi tena. Tena msimu huu wewe peke yako hujafungwa nasikia unataka kuvunja rekodi ya kutofungwa ligi nzima, au ndio unatafuta msaada unahisi jamaaa wanaweza kutibua rekodi?
 
Tottenham secured top spot in Champions League Group A despite being held to a 3-3 draw by FC Twente. Inter Milan's loss at Werder Bremen means Spurs will avoid the likes of Barcelona, Real Madrid and Bayern Munich in the last 16 .. .... ....
 
Wera weraaaaa!.
Huku ngoma inogile, hatua ya kwanza nimepita tena kwa kushangaza wengi naongoza kundi. Sasa hatua hii ya pili inabidi nijizatiti maana huku kwa walume.
 
Belo kwani bado unamuogopa Chelsea, nilifikiri hakutishi tena. Tena msimu huu wewe peke yako hujafungwa nasikia unataka kuvunja rekodi ya kutofungwa ligi nzima, au ndio unatafuta msaada unahisi jamaaa wanaweza kutibua rekodi?
Siwaogopi Chelsea nataka wapotee kabisa nibaki na Vibonde Arsenal
 
Back
Top Bottom