Mvina
JF-Expert Member
- Aug 2, 2009
- 998
- 34
ziacheni timu ndogo zipande juu kwani ufalme wa ligi kuu ni wao.........
Mzee tangu lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ziacheni timu ndogo zipande juu kwani ufalme wa ligi kuu ni wao.........
Du, kasheshe!
Modric kavunjika mguu sijui hata itakuwaje pale katikati!, lakini tutawapelekesha hivyo hivyo tu.
Du mkuu, usiniangushe!, yaani mwana michezo mzima hujui ni timu gani ambazo mpaka sasa kazi yake ni kufunga tu. Nitakuhabarisha, hakuna zingine ni Spurs na Chelsea tu. Nyie gombaneni, sisi tunatoa kichapo tu. Mechi 4 point 12, max points.Spurs mpo?
Kwenye msimamo wa ligi ni wangapi vile? Au ndo safari ya kurudi kwenye nafasi zenu imefika....
He..He..He.. au ndo nepi tayari nini?
Du mkuu, usiniangushe!, yaani mwana michezo mzima hujui ni timu gani ambazo mpaka sasa kazi yake ni kufunga tu. Nitakuhabarisha, hakuna zingine ni Spurs na Chelsea tu. Nyie gombaneni, sisi tunatoa kichapo tu. Mechi 4 point 12, max points.
Nawaonea huruma sana Spurs maana defence yote majeruhi kuanzia Woodgate,Dawson na jana King.Kumchezesha yule dogo Bassong pamoja na njemba kama Anelka,Drogba ni kumsababashia matatizo
Kati napo tangu aumie Mondric timu imekufa kabisa
Yeah hawa jamaa bila Modric ni weupe kati hapo.
Cheap excuses! Timu inawachezaji zaidi ya 25 kikosi cha kwanza kumia Luca Modric si sababu! Tottenham is not one man show club wadau....Palacios is doing the best he can!
Cheap excuses! Timu inawachezaji zaidi ya 25 kikosi cha kwanza kumia Luca Modric si sababu! Tottenham is not one man show club wadau....Palacios is doing the best he can!