Tottenham wanafunga katika dkk ya 55, 1-0
Kama kizibo cha soda,mna haki ya kujidai kwa sababu soda bado iko dukani,ikishanunuliwa,kizibo kitaenguliwa na kutupwa kando!
Du, watu wana methali hawa!, lakini hazisaidii kinachotakiwa ni pale uwanjani. Mtaka msitake hamna timu ya kuchukua ubingwa msimu huu, maneno ya hekima, methali na vitendawili vitakuwa vingi lakini havisaidiii kazeni buti uwanjani.Kama kizibo cha soda,mna haki ya kujidai kwa sababu soda bado iko dukani,ikishanunuliwa,kizibo kitaenguliwa na kutupwa kando!
Haya bwana ninyi wenye kikosi cha ubingwa,tuombe uhai mpaka may halafu kila mtu aje na karatasi yenye point zake.Du, watu wana methali hawa!, lakini hazisaidii kinachotakiwa ni pale uwanjani. Mtaka msitake hamna timu ya kuchukua ubingwa msimu huu, maneno ya hekima, methali na vitendawili vitakuwa vingi lakini havisaidiii kazeni buti uwanjani.
Najua ukweli unauma, lakini huo ndio ukweli hamna timu ya kuchukua ubingwa msimu jiandaeni na msimu ujao. Kwa jinsi navyomjua yule babu yenu ndio kwanza atauza wachezaji badala ya kununua.Haya bwana ninyi wenye kikosi cha ubingwa,tuombe uhai mpaka may halafu kila mtu aje na karatasi yenye point zake.
Nimekupata bingwa mtarajiwa!Najua ukweli unauma, lakini huo ndio ukweli hamna timu ya kuchukua ubingwa msimu jiandaeni na msimu ujao. Kwa jinsi navyomjua yule babu yenu ndio kwanza atauza wachezaji badala ya kununua.