Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Refa wa huu mchezo wa leo inabidi apigwe ban mechi kadhaa
 
Refa wa huu mchezo wa leo inabidi apigwe ban mechi kadhaa

Wapo wengi mbona Webb, Dawood, Dean et al wameshamiri na ndio vinara wanaitwa bora .... .... ubora wa bahasha usicheze na rupia mkuu khe khe khe khe kheeeeeeeeee chacha aibu ipo kwao khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee leo yamewakuta mlivyobebwa mlipocheza na Gunners naona masahau khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yaani wewe upo kama kocha wako kila siku kulalamika na mashabiki washachoka wanataka ushindi sio sifa za kijinga subiri uone mnapomaliza 5th au 6th place.
 
Sikujua kama kocha wenu ni mkwepa kodi sugu, hadi bank-account anafungua kwa jina la mbwa!!! Balaa duniani!
 
Yaani wewe upo kama kocha wako kila siku kulalamika na mashabiki washachoka wanataka ushindi sio sifa za kijinga subiri uone mnapomaliza 5th au 6th place.
Dua la kuku hili, na siku zote halimpati mwewe!.
 
article-2091085-116C8AF2000005DC-886_634x677.jpg

You better like and love brown envelopes baby ....
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wachawi wale, wameingia na Paka wamechoka kufungwa. Sijui wamempata Bagamoyo au Sumbawanga!

sema ile game walihujumu sana,
rafu nyingi za makusudi zilichezwa. Nilikereka kwa kweli...
 
article-2091085-116C8AF2000005DC-886_634x677.jpg

You better like and love brown envelopes baby ....
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa heri kocha wangu mpenzi umetutoa mbali, ila hutaweza kuhimili vishawishi vya pesa ya ukocha wa England baada ya Capello kuondoka. Tutakukumbuka daima, nasi tunakutakia mafanikio katika kuiongoza England.
Halafu hawa wanaozidi kumpendekeza wanafikiri kuwa kocha wa timu ya taifa ni sawa na ukocha wa Epl, wananikera kama nini. Si wamwambie Sir basi awe yeye, kwanza kashazeeka ampishe mwingine kule Manu.
A haya bana!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
4th minute so far, Spurz leading by a goal to nil,
Asseou Ekoto the goalscorer...
 
Saha scores the second.
His first goal ever for Spurs...
 
Mungu atukamatie hivi hivi, maana siku ya leo haikukaa vizuri.
 
Duuhh wadau leo kuna sherehe gani hapa............
 
Mungu atukamatie hivi hivi, maana siku ya leo haikukaa vizuri.

kwanini haikukaa vizuri mkuu?
Naiombea Spurs ushindi, since I hate the Dembas, sina hamu nao tangu wazingue hapa Bata...
 
Back
Top Bottom