Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Spurs to win today against City
Matokeo ni vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spurs to win today against City
Refa wa huu mchezo wa leo inabidi apigwe ban mechi kadhaa
Refa wa huu mchezo wa leo inabidi apigwe ban mechi kadhaa
Yaani wewe upo kama kocha wako kila siku kulalamika na mashabiki washachoka wanataka ushindi sio sifa za kijinga subiri uone mnapomaliza 5th au 6th place.Wapo wengi mbona Webb, Dawood, Dean et al wameshamiri na ndio vinara wanaitwa bora .... .... ubora wa bahasha usicheze na rupia mkuu khe khe khe khe kheeeeeeeeee chacha aibu ipo kwao khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee leo yamewakuta mlivyobebwa mlipocheza na Gunners naona masahau khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wachawi wale, wameingia na Paka wamechoka kufungwa. Sijui wamempata Bagamoyo au Sumbawanga!
Kwa heri kocha wangu mpenzi umetutoa mbali, ila hutaweza kuhimili vishawishi vya pesa ya ukocha wa England baada ya Capello kuondoka. Tutakukumbuka daima, nasi tunakutakia mafanikio katika kuiongoza England.![]()
You better like and love brown envelopes baby ....
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mungu atukamatie hivi hivi, maana siku ya leo haikukaa vizuri.