Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Wembley madrid tunamuuua mapema sanaNaona masihara mengi spurs watajuta baadae Madrid watakapo tulia
Kwa hii speed nnayo iona kuna tatu hapaWembley madrid tunamuuua mapema sana
Refa anajifanya haoni penaltKwa hii speed nnayo iona kuna tatu hapa
Bado haja-recover fresh ila kutokana na match imebidi naona kuna goal zake kipindi cha piliKane bado hayupo fit naona...
Mkuu, lakini mbona wamecheza vizuri tu...sema beki naona hawajatulia.madrid sijui kapatwa na nn? si kwa kuvurunda huku
Refa fala tu ila wangekuwa wao wangepewa ile penalty.Refa anajifanya haini penalt