Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Nalazimika kukubaliana na wewehakuna timu duniani isiyoshinda kwa magoli ya hovyo ma refa ni binadamu madrid misimu mi 3 ya nyuma amekuwa mzur sana uefa hakuna timu iliyokuwa kwenye ule ubora ulaya nzima.