Tottenham Hotspurs Thread

hakuna timu duniani isiyoshinda kwa magoli ya hovyo ma refa ni binadamu madrid misimu mi 3 ya nyuma amekuwa mzur sana uefa hakuna timu iliyokuwa kwenye ule ubora ulaya nzima.
Nalazimika kukubaliana na wewe
 
hii timu hata siielewagi inashindania nini hadi muda huu hata carabao cup hawawezi kubeba ajabu nayo inahesabiwa kama timu ngumu level za wakina west ham tu
To Put pressure on.....
Hio ndo kazi yao amn kingine cha zaid mkuu makombe kwa hapanaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…