Tottenham Hotspurs Thread

Martin Jol alitimuliwa October 2007

Juande Ramos alitimuliwa October 2008,

Harry Rednapp wakati umetimia baba!!!
 
HaAs for the speculation about me this week - it's absolute rubbish, a load of nonsense. I have no idea where people dream this stuff up.
"I absolutely love it here. We have a good team, I'm delighted with the way we're playing and I am over the moon to be here."

Haondoki mtu hapa, Klinsman atakuja kwa wakati wake si kwa kumtimua Rednap.
 
Martin Jol alitimuliwa October 2007

Juande Ramos alitimuliwa October 2008,

Harry Rednapp wakati umetimia baba!!!
mkuu nakupinga hapa kidogo.rednapp is one ofthe best english coaches.na sio rahisi kumudu kama jamaa anavyomudu.ligi ngumu sana na kajitaidi timu yoyote anayopewa anaweza kubadirisha matokeo.i think its to early to fire him.
 
Hakuna sababu ya kumtimua huyo Mzee ndio aniweza hiyo timu so far sijaona sababu ya kumfukuza kwanza ana uzoefu na Premier league huyo Klinsman akatafute timu apate uzoefu kwanza
 
...hatotimuliwa, ataondoka mwenyewe! keshasoma alama za nyakati...maji ya shingo!
 
...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ his past doesn't convince me, his face doesn't convince me, his motives doesn't convince me! ...na akiondoka anaondoka na kina Defoe na Crouch...watch this space ha ha haaaa...
 
...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ his past doesn't convince me, his face doesn't convince me, his motives doesn't convince me! ...na akiondoka anaondoka na kina Defoe na Crouch...watch this space ha ha haaaa...

Kwa hiyo kiongozi unasema huyu mzee akihama huwa anaondoka na toolbox yake! πŸ˜€

Nway, watani wa wenu wa London mwaka huu wana timu nzuri sana na natarajia sana derby ya Gunners na Spurs mwaka huu itakuwa mouth-watering kinyama.
 
Shedafa uwa anaonekana wakishinda au wakitoa draw lol...!!
 
Shedafa uwa anaonekana wakishinda au wakitoa draw lol...!!
Nipo mkuu, ila nashangaa mkuu MBU ana-quote habari za POMPEY na kufanya reference kuwa za SPURS!. Huyu mtu haondoki wala hafukuzwi, hata nyie wenyewe fikirini katika mafanikio haya aondoke aende wapi. Kila mmoja anapenda mafanikio, na anapenda akae mahali penye mafanikio. Ni mafanikio yanayoleta heshima kwa kocha, sasa ayakimbie mafanikio?. Rednap haondoki, nasi tutaendelea kufanya vizuri yule atakayezubaa kwenye 4 bora tutachukua nafasi yake.
 
...ha ha ha...

huyu bana hana jema huyu, mafanikio aliyoyapata kwa Pompey hayakuwa madogo, au ushasahau Pompey walivyochukua FA Cup dhidi ya Cardiff 2008?...

October hii hii kitaeleweka! πŸ˜€
 
Redknapp ni mshabiki sana wa mafarasi na kamari, kinachonishangaza mimi ni kwa nini ghafla bin vuu yeye amekuwa bookies favourite kuondoka Spurs? Hawa ma-punters mara nyingi wanazidaka siri za ndani na hata ukiiona hio frenzy kwenye bookmakers ujue kuna asilimia kubwa ya usahihi, yetu macho lakini kutokana na historia ya Arry sitoshangaa akisepa.
 
...ha ha ha...

huyu bana hana jema huyu, mafanikio aliyoyapata kwa Pompey hayakuwa madogo, au ushasahau Pompey walivyochukua FA Cup dhidi ya Cardiff 2008?...

October hii hii kitaeleweka! πŸ˜€

Mtani naona unampandisha wasi wasi mwenzako lol.
 
Mtani naona unampandisha wasi wasi mwenzako lol.

...jeuri sana hawa Spuds!... ngoja Rednapp awafanyie kweli... halafu ubaya wake, huondoka na wale wachezaji aliowasajili...

nyie Spuds nafasi yenu kuleee chini, tisa au kumi!...
 
Inaonekana watu wanakerwa sana na mafanikio yetu, mara tunamtaka Modric kwa dau lolote. Amevunjika mguu sasa kimya, sasa mmehamia kwa Rednap. Huyu haondoki October wala December, tutabanana hapo hapo kwenye 4 bora. Mtushinde uwanjani na wala sio nje ya uwanja!
 
Shedafa duh sasa wewe umezidisha mafanikio gani mliyoyapata kushika nafasi ya tatu baada ya mechi 8 ndio mafanikio? Pompey wameshapata tajiri mpya subiri waanze fujo sasa alafu kumbuka ule msemo "Shamba la kale rahisi kulilima tena".
 
Ndugu yangu Eqlypz, mmanga hawezi kumwita Rednap arudi Pompey!. Atatafuta kocha mwenye jina na wachezaji wenye majina, we subiri Jan uone. Hawa watu wana jeuri na hela yao.
 
Ndugu yangu Eqlypz, mmanga hawezi kumwita Rednap arudi Pompey!. Atatafuta kocha mwenye jina na wachezaji wenye majina, we subiri Jan uone. Hawa watu wana jeuri na hela yao.

...Rednapp yupo hapo Spurs ku warm-up bench la Klinsmann...! hana muda mrefu atakimbia...

...few more days to go! πŸ˜€
 
Paul Hart is facing the axe at Portsmouth with new owner Ali Al-Faraj keen on a bigger name in charge.
Portsmouth's newest owner - described by chief executive Peter Storrie as "a billionaire" - wants to fund an overhaul at the club.
It comes just weeks after 12 players were brought in to replace stars sold in the club's summer fire sale.
Al-Faraj's lawyer, Mark Jacob, said yesterday: "There is going to be substantial investment.

Haya niliyasema jana tu leo yametokea, sasa semeni lingine. Redknap harudi Pompey, na kuhakikisha hilo zaidi anamleta Muntari January.
 
Wow! Spurs 2, Pompey 1. Nafikiri nafasi ya Liverpool iko wazi kuigombania, A.Villa na Man City tu ndio kikwazo. Tutabanana humu humu mpaka tupate nafasi 4 bora.
 
..............huyu Babu Harry Redknap ni among the best coach in UK........na matokeo yake yanaonekana pia.....history pia inaonyesha hivyo.........hongereni Totts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…