eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Lengo lenu siku zote linajulikana ni top four tuNasubiri ujijibu!!
Nini sasa kinakukereketa hali ya kuwa wajua tuna fight hard kuwa kwenye top 4?Lengo lenu siku zote linajulikana ni top four tu
E&K
Kinachonikereketa ni kushindwa kuwa mabingwa mbele ya Leicester cityNini sasa kinakukereketa hali ya kuwa wajua tuna fight hard kuwa kwenye top 4?
Kwani nyie mnakuwa mnafanya nini mpka mtutwike mzigo wote sisi tu?Kinachonikereketa ni kushindwa kuwa mabingwa mbele ya Leicester city
E&K
Leo umetokea swahiba
subiri tunyanyue makwapa mkuu mwisho wa msimu naona malengo utayaona vizuriAisee na nyie mpo kumbe
Sasa Najiuliza malengo yenu ni nini
E&K
Leo umetokea swahiba
kitambo sijakuzoom machoni nimefurahi kukuonaSwahiba hongera,ulipohamia mambo mazuri
kitambo sijakuzoom machoni nimefurahi kukuona
Mkuu mambo vipiKamanda karibu msimu kama ulivyoanza long time kiongozi
Mkuu umepoteaLeo umetokea swahiba
Sawa mama japo nilipotea poteaNipo nimejaa tele kule home sweet home uwe unapitapo
boss boss kwema kabisa mkuuMkuu mambo vipi
Nimerudi japo ndio kwa kuiba-iba aje aje lakini mkuuMkuu umepotea
Pamoja unajua tumekuwa familia moja japo wewe ni spurs mimi liverNimerudi japo ndio kwa kuiba-iba aje aje lakini mkuu
ni kweli ndugu yangu nitapita kijiweni kamandaPamoja unajua tumekuwa familia moja japo wewe ni spurs mimi liver
Ushindwe kunyanyua kwapa mbele ya Leicester city halafu uje unyanyue mbele ya wababe wa EPLsubiri tunyanyue makwapa mkuu mwisho wa msimu naona malengo utayaona vizuri