Tottenham Hotspurs Thread

Tafuta ulinganifu wa alichopata Tottenham kuingia finals UEFA vs alichopata Chelsea kwa kushinda Europa.

Utabadili haya mawazo.
Hapo sijatafsiri mafanikio kama mapato ambayo klabu imeingiza. Kama shabiki, mafanikio ni kile kinachovunwa kutoka uwanjani, vikombe. Kwa shabiki wa Spurs ambayo ina kikombe kimoja tu cha kombe la ligi kwa miaka 20 iliyopita ni aheri timu ishiriki kikombe kisicho na ushindani mkubwa na ikakibeba kuliko kwenda michuano migumu isiyoshindika kirahisi (assumption ni kwamba hawatafanya squad overhaul dirisha hili hivyo huenda wasiwe na kikosi kilichoshiba).
 
Oyaa kikundi kinginee cha Vibakaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wasalimieni Arsenal...Chelsea na taka taka zingineee salamu kutoka Man u
 
Oyaa kikundi kinginee cha Vibakaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wasalimieni Arsenal...Chelsea na taka taka zingineee salamu kutoka Man u
Haya maandishi huwa hayafutiki mzee. Misimu miwili ijayo naamini ukiirejea hii post yako mwenyewe utaguna, mmmh.
 
Sasa ni dhahiri tutakuwa na ingizo jipya golini. Hii ni baada ya Michael Vorm kuaga rasmi.
 
Bye bye Super Jan kipenzi cha mashabiki. Miaka 8 si mchezo. #JanVertongen.
 
Nani analikumbuka hili goli? Siku hiyo tumewapiga Burnley 5-1! Hakika ndilo goli la msimu.

Mdogo mdogo mpaka tutatoboa. Hapo wasiojua mpira bado utasikia "Ooh, Mourinho hapendi makinda". Sasa alianza dogo Skipp (holding midfielder) na sasa ni Japhet Tanganga. Huyu debut yake ilikuwa kwenye game na Looserpools na Mane na Mo Salah wanaifahamu vema kazi yake. Suka kikosi bwana Jowzey.

#COYS

Sisi ndo watabeee...!!
Watabe miaka 7 bila ubingwa! Wa pili kwa spending! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Noma sana. Uzuri wake Ed Woodwork anawajua vema mashabiki wake. Anajua lini awang'ate na lini awapulize.
 
Watabe miaka 7 bila ubingwa! Wa pili kwa spending! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Noma sana. Uzuri wake Ed Woodwork anawajua vema mashabiki wake. Anajua lini awang'ate na lini awapulize.
Msimu ujao ubingwaa lazimaa...!! Unamjuw Bruno wewe kijanaa....
 
Msimu ujao ubingwaa lazimaa...!! Unamjuw Bruno wewe kijanaa....
Ubingwa mtachukua mkiwa na winger gani upande wa kulia? Lingard, Mata au mwanariadha Daniel James. Na beki wenu kushoto bado atakuwa Luke Shaw yule anayefanya muonekane Magwaya mlipigwa ee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo sisi hatujuii tunachojuaa tunabeba ubingwaaa....
 
Mourinho hata akiwa Man Utd aliwatumia vijana kama Jesse Lingard, Lindlof na hata alivyoanza kumchezesha McTominay mashabiki walikuja juu eti anachezesha watoto wasiojua mpira. Hivi kuna anayekumbuka ile namna ya Lingard ya kushangalia magoli iliishia wapi?
 
Hui ni ukweli ambao mashabiki wengi hawana vifua vya kuuhimili. Jamaa alijibu vema hilo swali hivi karibuni. Kwamba ni kweli anapendelea kufanya kazi na wachezaji wenye umri mkubwa? Kajibu kwamba yeye hupendelea mchezaji mwenye ukomavu wa kiakili, haijalishi umri wake.

McTominay mwenye miaka 19/20 alikuwa kapevuka kiakili kuliko Pogba aliyejawa na kiburi. Alipolazimisha kumchezesha dogo kutupiwa kila aina ya tusi. Leo kila mmoja anajua shughuli ya dogo Scott.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…