Tottenham Hotspurs Thread

Kudos kwa bodi na benchi. Maeneo mengi yenye udhaifu yamemulikwa. Kwangu bado kwenye eneo la ulinzi tunahitaji CD mwenye calibre ya uongozi. Bado pia striker wa kumpa changamoto Kane. Pia wakiweza kununua kiungo mwingine mkabaji back up ya Hojbjerg itakuwa magoli.

By the way tutawashangaza watu msimu huu. Na jana tumeanza rasmi na kipigo kwa Southampton.
 
Bale asipokuwa spana mkononi atasaidia sana attacking force. Forward Bale, kane, son. Midfield Locelso, hojbjerg, winks. Defenders doherty, toby/dier, sanchez, reguilon/davies. Gk Lloris
Sub: lamela, ali, moura, sissoko, ndombele.
 
Jose akishindwa kupata matokeo na kikosi hiki atakuwa kaanza kupoteza makali. Hapo kwa Winks anakaa Ndombele. Sasa ameamua kucheza mpira na kupambania namba. Hapo ndipo huwa namkubali Mourinho. Hauchezi eti kwa kwa kuwa tu wewe ndiye mchezaji ghali zaidi. Lazima upiganie dakika unazohitaji. Now jamaa kawa na umuhimu hata pale ambapo hana mpira.
 
Haya sasa. Tumebakiza mchezaji mmoja tu (CB) dirisha hili au January project ikamilike. Kazi itabaki kwake Mourinho kutupatia furaha mashabiki. Tunaenda kushindania makombe sasa. Za jana zilikuwa salamu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…