Kwa kikosi chetu Chelsea ngumu sana kutufunga. Ni mwendo wa kuwapa konzi tu. Ona washaanza kusema ushindi wa penati! Kama vile penati siyo goli!Usitufokee, yaani game ulishindwa lakini una courage ya kuongea kama ulishinda. Mkikaa vibaya Mou anawatungua mchana kweupe.
#epl October player of the month.Heung Min SonView attachment 1624481
Sahihi kabisa. Ishu ninayoiona hapo ni unfitness ya viungo wetu wachezeshaji yaani Lo Celso na Ndombele. Wote hao hawakuwa wazuri sana kwenye hizo mechi, hasa Lo Celso. Pia Sissoko hufanya timu ife kuanzia kwenye nafasi yake kwenda mbele, quality yake ni average sana.Kwa mechi 3 au 4 za mwisho tumeshuhudia tukimaliza first half bila shot on target (0 shot on target). Sijui shida ni kwetu au ni timu tulizokutana nazo zilikuwa na strong back line. Tumekuwa tunastruggle kupenya ngome za wapinzani. Mechi dhidi ya burnley, brighton, westbrom na mechi moja ya europa dhidi ya antwerp kama sikosei.
Kweli ila namba 10 wetu wote (Ndombele na Gio) hawakucheza vizuri sana mechi chache zilizopita hivyo kupunguza ile attacking threat.Hakuna timu yenye forward moto kama hii huko England msimu huu, so sema lingine
Nakubaliana nawewe kwa point zote 3 ulizosema. Unfitness ya lo celso na ndombele yaweza kuwa sababu. Pia sissoko mzito sana anapooza mashambulizi. Kwa upande wa attackers hilo ni wazi kuwa attacking force yetu ni kali zaidi epl.Sahihi kabisa. Ishu ninayoiona hapo ni unfitness ya viungo wetu wachezeshaji yaani Lo Celso na Ndombele. Wote hao hawakuwa wazuri sana kwenye hizo mechi, hasa Lo Celso. Pia Sissoko hufanya timu ife kuanzia kwenye nafasi yake kwenda mbele, quality yake ni average sana.
Vile vile hao wapinzani wetu walikuwa very compact kiulinzi.
Hiyo siku hutakua na nguvu ya kushika simuKaribu, nai save hii comment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hiyo mmwambie Lampard atulize wenge asianze kuchonga kwenye touchline mambo yakibana kama siku ile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo siku hutakua na nguvu ya kushika simu
Issue ya Sissoko inanaweza pia kuonekana kwenye performance rating ya game ya Westbrom. Ukiangalia hii screenshot hapa chini utaona uhai wote wa timu ulikuwa unaishia pale mpira unapoingia kwenye zone yake, yaani mbele kidogo ya Hojbjerg.Nakubaliana nawewe kwa point zote 3 ulizosema. Unfitness ya lo celso na ndombele yaweza kuwa sababu. Pia sissoko mzito sana anapooza mashambulizi. Kwa upande wa attackers hilo ni wazi kuwa attacking force yetu ni kali zaidi epl.
Ipi hiyo unazungumzia, Chelsea, Arsenal au Mwanitesa United! [emoji23][emoji23][emoji23]Dodoma jiji ya England
Siku ile tuliwatoa kamasi na bado kikosi hakikua kimekamilika. Tukiwawekea full mkoko si mtakimbia uwanjani nyieSiku hiyo mmwambie Lampard atulize wenge asianze kuchonga kwenye touchline mambo yakibana kama siku ile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Good. Hongera pia kwa ushindi. Nadhani tushapata timu mbili zinazowania ubingwa. Tunaanza sisi kisha nyinyi akina Kante.Hapa naona draw ya magoli au ushindi kwenu.
Kasema siyo kubwa kihivyoDaah hii injury mbona inataka kuharibu sherehe