Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Mkuu bado upo wapi last time msimu wa juzi hapa chini ya Pochettino huu uteja tayari umevunjwa.

Game mlikufa 3 - 1 delle aliwaweka 2 Eriksen akaongeza ya mwisho nje ya box long range.
ahaa nimekumbuka mdau ni mara moja ndani ya miaka 30 spurs ameshinda stamford bridge
 
Tanesco
thefootballistfc-20201121-0001.jpg
 
Nyie Wiki ijayo mtajua hamjui.
Mbele ya Werner, Ziyech na Abraham kila goti litapigwa

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ziyech leo atapelekwa likizo na bwana mdogo Reggy kama ilivyokuwa kwa Mahrez wikend iliyopita. Atakayecheza kushoto atazimishwa na Matt Doherty au "anko kidevu". Baada ya hapo kuna Son/Kane/Ndombele/Lo Celso wa kuwa-destroy: Mmeisha.
 
Hatari sana huyu raia
Jose akitaka mchezaji mpe. Tulipofanya deal na Southampton wengi walidhani tumepigwa wakidai tumepoteza mchezaji mzuri Kyle Walker Peters na kuchukua average player.

Jamaa ndiye anaongoza kwa recoveries epl msimu uliopita; 328. Kazi yake kubwa pale ni kuwa midfield General. Anafanya central defence yetu dhaifu ionekane nzuri sana.
 
[emoji23][emoji23] Mkuu muda utasema nan atashika adabu kwa sababu najua leo Mou anakuja kutafuta draw
Kwa kikosi hiki Mou anajua anaweza kushinda mchezo wowote popote. Na keshawataarifu wachezaji kuwa ubingwa unashindika. Jose anapotafuta ubingwa hachagui mechi za kutaka kushinda.
 
Kwa kikosi hiki Mou anajua anaweza kushinda mchezo wowote popote. Na keshawataarifu wachezaji kuwa ubingwa unashindika. Jose anapotafuta ubingwa hachagui mechi za kutaka kushinda.
Mkuu ina maana msimu uliopitaalikua hatafuti ubingwa?
 
Mkuu ina maana msimu uliopitaalikua hatafuti ubingwa?
Ndiyo. Hilo lilikuwa wazi kabisa. Baada ya kuanza vibaya na Poch, yakaja majeruhi ya Son & Kane timu ikawa inapigania survival angalau icheze michuano ya Ulaya.

Ila baada ya Levy master class kwenye dirisha lililopita sasa Jose anacho kikosi ambacho kwa uwezo wake kinapaswa kuwa na uwezo wa kugombea taji lolote lile kati ya haya tunayogombea (Europa inaeleweka tutachukua).
 
Kikosi cha msimu ule ilikiwa majaaliwa kupata ushindi ila this time ni kama jamaa anadhamira kabisa ukiangalia jitihada alizoweka
Timu ilikuwa imejengwa kuzunguka Kane na Son hivyo walivyoumia wote kwa kweli ilikuwa ngumu sana kushinda chochote.
 
Ndiyo. Hilo lilikuwa wazi kabisa. Baada ya kuanza vibaya na Poch, yakaja majeruhi ya Son & Kane timu ikawa inapigania survival angalau icheze michuano ya Ulaya.

Ila baada ya Levy master class kwenye dirisha lililopita sasa Jose anacho kikosi ambacho kwa uwezo wake kinapaswa kuwa na uwezo wa kugombea taji lolote lile kati ya haya tunayogombea (Europa inaeleweka tutachukua).
Naona mna maneno mengi sana sasa naomba nione uhalisia leo hii darajani
 
Back
Top Bottom