Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

First XI [emoji91][emoji91][emoji91]
spursofficial-20201129-0001.jpeg
 
Dier anatosha kabisa mkuu ondoa shaka pia huyu dogo Rodon nimeona mechi zake chache alizocheza anajiamini sana.

Ngoja tuone leo pia ata-deliver kitu kizuri na imani hiyo.
Kukosekana kwa tobby kumenipunguzia confidence
 
Dier anatosha kabisa mkuu ondoa shaka pia huyu dogo Rodon nimeona mechi zake chache alizocheza anajiamini sana.

Ngoja tuone leo pia ata-deliver kitu kizuri na imani hiyo.
Shida leo huyu dogo anachezeshwa kulia hivyo inampa shida kugeuka. Ngoja tuone itakuwaje.
 
Hamna kitu pale sijui mliwafungaje Man City.
Jana hatukuwa effective kwa sababu ya udhaifu wa CD yetu. Hivyo Hojbjerg ikabidi akae mbele yao muda wote kuwakingia kifua. Hii ndiyo sababu midfield yetu ilikufa kabisa.

Faida nyingine tuliyokuwa nayo ni kucheza na kocha mchanga asiyejua kuwa game kama ile alimuhitaji Giroud.
 
Piere emile hojbjerg mnyama hatari sana. Hii combo ya son kane [emoji119]
 
Tunahitaji beki mmoja na mshambuliaji mwingine mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23]...Kumbe upo rasmi spurs..kilichokuwa kinakufanya ujifiche kwenye kichaka cha kuwa united huku ukipinga Mourinho kufukuzwa ni nini?
 
Back
Top Bottom