Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Acha unafiki, msimu uliopita Mou alicheza karibia game zote bila Harry Kane na Son na ndipo mlipomfungia. Sasa Chelsea imefanya usajili mkubwa ni vyema kulalamika mchezaji 1 au 2 hawapo ndio sababu ya kufungwa? Pia usisahau kabla ya game ya mwisho ulitoka kupoteza kwa Mou on penalties, hivyo nyie ndio mlipaswa kukumia na sio yeye.
Mkuu katika hizo game sisi hatukua tumesajili nyie mlisajili. Sisi tulikua na 60% academy players bado unaleta sababu za Son na Kane kutokuwepo lakini unaikataa sababu yangu ya key player kutokuwepo kumechangia sisi kupoteza jana.

Sijui unabisha nini hapo?
 
Tutajie wachezaji aliosajili Tottenham msimu uliopita.
 
23'
Harry Kane [emoji460]
Son [emoji457]
spursofficial-20201213-0001.jpeg
 
Wadau msimaindi ile draw na Palace. Looserpool nao wameshikwa shati. Tunaendelea kukaa kileleni.
 
Ngoja tuone kipindi cha pili kitakuwaje ila mpaka sasa tumeweza kuudhibiti mchezo.
 
Back
Top Bottom