Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mkuu katika hizo game sisi hatukua tumesajili nyie mlisajili. Sisi tulikua na 60% academy players bado unaleta sababu za Son na Kane kutokuwepo lakini unaikataa sababu yangu ya key player kutokuwepo kumechangia sisi kupoteza jana.Acha unafiki, msimu uliopita Mou alicheza karibia game zote bila Harry Kane na Son na ndipo mlipomfungia. Sasa Chelsea imefanya usajili mkubwa ni vyema kulalamika mchezaji 1 au 2 hawapo ndio sababu ya kufungwa? Pia usisahau kabla ya game ya mwisho ulitoka kupoteza kwa Mou on penalties, hivyo nyie ndio mlipaswa kukumia na sio yeye.
Sijui unabisha nini hapo?