mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
September is coming imeishia wapiKesho tunahitaji ushindi mnono. Kushinda tutashinda lakini uwe ushindi mnono. Wale majogoo wana "timu bandia"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
September is coming imeishia wapiKesho tunahitaji ushindi mnono. Kushinda tutashinda lakini uwe ushindi mnono. Wale majogoo wana "timu bandia"
Kichwa kichafu vipiTunachinja na kumbanika na manyoya yake
Ha ha ha ulitaka wafanyaje na uwezo wao ndio ulipoishiaMmezingua Tottenham leo
Wanasema "sisi Tottenham" hajutasajili lakini tuoneshe leo kuwa usajili haukuwa wa muhimu kwetu ..
Tunachinja na kumbanika na manyoya yake
ndugu habari yakoKichwa kichafu vipi
si tuliotegemea kwa timu dogo kama ile. Tunasikitika kupata ushindi mwembamba mkuuHongeren wakuu kwa ushindi leo
si tuliotegemea kwa timu dogo kama ile. Tunasikitika kupata ushindi mwembamba mkuu