Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Harry Kane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe endelea kusema ivyo ngoja international break iishe nikuoneshe kazi. Nimekutoa kamasi kwenye EFL Cup ukaja kushinda kwa penalty sasa unaanza jeuri.Overhaul imegharimu £70m sawa na gharama ya mchezaji mmoja tu Kai Harvetz wa watani zetu Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hapo ndipo unaweza amini kuwa uchawi upo.
Mwingine naye kanusurika kuibiwa tena mchana kweupe kwa Sancho! Msimu huu burudani kama yote.
Usitufokee, yaani game ulishindwa lakini una courage ya kuongea kama ulishinda. Mkikaa vibaya Mou anawatungua mchana kweupe.Wewe endelea kusema ivyo ngoja international break iishe nikuoneshe kazi. Nimekutoa kamasi kwenye EFL Cup ukaja kushinda kwa penalty sasa unaanza jeuri.
Naona kama muda hauendi Lampard atamuonesha kazi Mentor wake Mou
Sent using Jamii Forums mobile app
Defense ya timu bado haijatulia vizuri, pia nadhani tunahitaji mshambuliaji aliyekamilika mmoja.Kwa mechi 3 au 4 za mwisho tumeshuhudia tukimaliza first half bila shot on target (0 shot on target). Sijui shida ni kwetu au ni timu tulizokutana nazo zilikuwa na strong back line. Tumekuwa tunastruggle kupenya ngome za wapinzani. Mechi dhidi ya burnley, brighton, westbrom na mechi moja ya europa dhidi ya antwerp kama sikosei.
Hakuna timu yenye forward moto kama hii huko England msimu huu, so sema lingineDefense ya timu bado haijatulia vizuri, pia nadhani tunahitaji mshambuliaji aliyekamilika mmoja.
Kwa mechi 3 au 4 za mwisho tumeshuhudia tukimaliza first half bila shot on target (0 shot on target). Sijui shida ni kwetu au ni timu tulizokutana nazo zilikuwa na strong back line. Tumekuwa tunastruggle kupenya ngome za wapinzani. Mechi dhidi ya burnley, brighton, westbrom na mechi moja ya europa dhidi ya antwerp kama sikosei.
Karibu, nai save hii comment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe endelea kusema ivyo ngoja international break iishe nikuoneshe kazi. Nimekutoa kamasi kwenye EFL Cup ukaja kushinda kwa penalty sasa unaanza jeuri.
Naona kama muda hauendi Lampard atamuonesha kazi Mentor wake Mou
Sent using Jamii Forums mobile app