Mpira wa kawaida mnaonyesha m.magoli kutafuta kwa taabu.hata mpira kwa arsenal mwenyewe mkikutana naye atawapeleka mbio.ila duh hio rafu aliyofanyiwa Lucas sio POA.jamaa yule mshenzi na refa wa Leo mwenyewe mshenzi huyu kibabu..ila wa kubet mechi ijayo akikutana na team anawekwa.sure