Tottenham ombeni msikutane na team kubwa next match

Tottenham ombeni msikutane na team kubwa next match

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mpira wa kawaida mnaonyesha m.magoli kutafuta kwa taabu.hata mpira kwa arsenal mwenyewe mkikutana naye atawapeleka mbio.ila duh hio rafu aliyofanyiwa Lucas sio POA.jamaa yule mshenzi na refa wa Leo mwenyewe mshenzi huyu kibabu..ila wa kubet mechi ijayo akikutana na team anawekwa.sure
 
Huyu refa kipua sitaki hata kumsikja
 
Tottenham unacheza kiwango kidogo sana
 
Naona umekosa wateja ukaamua kujiuzia bidhaa mwenyewe hahahaha
 
Back
Top Bottom