Tottenham v. Bournemouth (LIVE UPDATES!)

Tottenham v. Bournemouth (LIVE UPDATES!)

Kane na Ali ndiyo funguo za Spurs kama Bournemouth wana majibu yao basi wanaweza kuambulia kitu na kama hawana basi wataambulia patupu
 
Bournemouth jezi mistari myekundu na myeusi na bukta nyeusi
 
Ikumbukwe hawa Bournemouth waliambulia point wakicheza na Manutd na Liverpool ila mechi sita kabla ya hii kiwango kimeshuka
 
Back
Top Bottom