Tottenham v. Bournemouth (LIVE UPDATES!)

Hawa spurs wanapenda chenga langoni mwa Bournemouth nafikiri wanatafuta peneti
 
Bao la pili beki wa Bournemouth alimbabatiza Kane naye akatoa pande kwa Son Heung akawazidi mbio na akapiga shuti ya chini chini kipa wala hakuangaika kuufuata mpira nyavu zikacheka
 
Nilikuambia hii mechi lazima Totenham ashinde,kesho tutegemee upinzani wa hali ya juu kutoka kwa Chelsea.
 
Back
Top Bottom