Tottenham v. Bournemouth (LIVE UPDATES!)

Tottenham v. Bournemouth (LIVE UPDATES!)

Long ball ya spurs ilitua kichwani kwa Delle lakini kipa wa Bournemouth akanyaka
 
Tatizo kubwa la Bournemouth ni mabeki kiwango kiko chini sana
 
Yaani kama Harry Kane angelikuwa makini saa hii ingelikuwa mtu kapigwa tano mtungi
 
Back
Top Bottom