Tottenham v. Bournemouth (LIVE UPDATES!)

Tottenham v. Bournemouth (LIVE UPDATES!)

Lango la Bournemouth linasakamwa tangu kipindi cha pili kianze
 
Hawa Bournemouth walikuja na mkakati wakulinda goli lao sasa wamefungwa goli tatu hawajui wafanye nini
 
ed88d9afb5371e3827899d4b52712fb3.jpg

Mechi iko fair sana
 
Tatizo la Bournemouth kujirundika golini kwao ni kuwa wakiokoa wanawapasia Spurs ambao wanarudi kuwashambulia tena na tena
 
We jamaa umeamua ujiongezee points nini uwashinde kina nyani ngabu?Hizi updates weka ktk main topic panel!
 
Back
Top Bottom