Tottenham v. Everton - March 05, 2017

Tottenham v. Everton - March 05, 2017

Kipindi cha pili kinaendelea ni dakika ya 51 bado Spurs kifua mbele kwa bao moja kwa bila
 
Hawa Everton naona wanawaheshimu mno Spurs

Spurs 2-0 Everton

Harry Kane tena
 
Everton walifanya mabadiliko mawili sasa Spurs wafanya badiliko moja
 
Ilikuwa kona ikapigwa fupi kipa alikuwa macho akatoa ikawa kona
 
Naye akapiga shuti Kali ya kutambaa kipa Wa Spurs akasalimu amri
 
Back
Top Bottom