Nilisema iko wazi kombe walistahiliLiverpool anakiu na makombe ukame umetawala kwao.Naamini ni zamu yao leo
Umepanic mamaKacheze basi ww unayevutia tukuone
Vipi bado hujaona tu Liverpool game iko upande wao? Eti mtafia uwanjani. Kweli mmefia uwanjaniUmeona wap kama lipo upande wao,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Spurs anabeba ndoo mpema sanaa
Huyo dogo atakuwa amezimia kabisa.Sissoko ametimiza ndoto yako mapemaaa
6Je mashetani wa Spurs wanao uwezo wa kuwashambulia Liverpool?
Sitaki kuwa mtabiri Arsenal imenifunza kitu
Je mashetani wa Spurs wanao uwezo wa kuwashambulia Liverpool?
Sitaki kuwa mtabiri Arsenal imenifunza kitu
Enjoy your weekend😊😊😊Hahahaha wewe ni noma nimecheka sana!!!
Hiyo penalty ifute matokeo yabaki 1-0
Kuchezewa sio shida,ila mbinu za mpira.jiulize Brazil walitokaje kombe la dunia.chelsea wanafungwaga wanaongoza posses adi 85-15Walistahili kivp? Wakati mda wakat mda wote wamechezewa nusu uwanja
Kuchezewa sio shida,ila mbinu za mpira.jiulize Brazil walitokaje kombe la dunia.chelsea wanafungwaga wanaongoza posses adi 85-15
Fainali ya vilaza , Epl ligi ya timu zenye soka la ovyo