Tottenham vs Liverpool (Who will win) ?

Tottenham vs Liverpool (Who will win) ?

Nimeona pale kwa pain killer mkuu,hasa alivyopanic
Leo tunafia uwanjani mkuu spurs lazima tuchukue hili kombe kwa mara ya kwanza kabisa

Kama lipo upande wa liverpool bas tunalifuata huko huko, aliye juu mfuate juu
 
Leo tunafia uwanjani mkuu spurs lazima tuchukue hili kombe kwa mara ya kwanza kabisa

Kama lipo upande wa liverpool bas tunalifuata huko huko, aliye juu mfuate juu
Kila la kheri mkuu. Ila kweli hapa ndio pa kufia uwanjani. Kombe kabisa hili hapa unaliona halafu anadokoa mwenzio
 
Mimi ni shabiki wa Man Utd ila leo nitaiombea mema Liverpool, nimetokea kuwaonea huruma jinsi wanavyopambana halafu wanakosa makombe, kupoteza fainali 2 mfululizo za Uefa itakuwa jambo la kusikitisha sana kama ilivyowahi kutokea kwa Juve. Utabiri wangu watashinda 2-0
Man mwenzangu mimi nimejikuta nawaonea huruma zaidi Spurs maskini kocha wao natamani japo ashinde tu.
 
Wapenzi wa Arsenal wanaoishi Africa wanataka Spurs ishinde lakini washabiki wa England wanaombe Liverpool washinde coz Spurs na Arsenal ni majirani
Man mwenzangu mimi nimejikuta nawaonea huruma zaidi Spurs maskini kocha wao natamani japo ashinde tu.
 
Spurs
IMG_20190601_214117.jpeg
 
Back
Top Bottom