Tottenham vs Liverpool (Who will win) ?

Tottenham vs Liverpool (Who will win) ?

Faniali ya vilaza , fainali mbovu kabisa ya UCL kuwahi kutokea

Acha uzwazwa ww, Liverpool sio kilaza kama ndgu yako Man Utd, Barcelona , Porto, Bayern. Liverpool kqmpiga kila mtu unamwitaje kilaza we kiazi. Sema gemu ni ngumu sana leo ila Liverpool anadeserve kushinda, japo Spurs wameingia kiujanja ujanja hawakutegemea ila sio wa kuwa beza.
 
Pia wamejitahidi kuambana vzr sana mwaka huu, ingekuwa ni vyema kama hawa tachukua chochote mwaka huu watakuwa ktk wakati mgumu sana kiasi hata klabu inaweza kusambaratika.
Liverpool anakiu na makombe ukame umetawala kwao.Naamini ni zamu yao leo
 
Nampenda sana kocha wa Liverpool "Juggen Klop" 7bu huwa hana tambo kama za akina Pep na Mourinho pia hanaga bifu za kijinga jinga na Wachezaji na Mashabiki wake.

So kila la heri Liverpool FC
Liverpool akikosa hili kombe akate

Tamaa na makombe kabisa kugombania
 
Kweli lakini mambo ni magumu
Wakioikosa ilo naamini ule usemi 'your not walk alone'mashabiki watawaachia wachezaji.its too much liver toka wachukue kikombe ni umri wa kijana alie barehe zaidi ya miaka minne.
 
Mimi ni shabiki wa Man Utd ila leo nitaiombea mema Liverpool, nimetokea kuwaonea huruma jinsi wanavyopambana halafu wanakosa makombe, kupoteza fainali 2 mfululizo za Uefa itakuwa jambo la kusikitisha sana kama ilivyowahi kutokea kwa Juve. Utabiri wangu watashinda 2-0
 
100%
FB_IMG_1559399110807.jpeg
 
Back
Top Bottom