BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Liverpool
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faniali ya vilaza , fainali mbovu kabisa ya UCL kuwahi kutokea
Swali bora la mwaka 2019, kama hajakujibu akulipe muda uliotumia kufikirisha ubongo wako ktk kumuulizaHao wazuri walikuwa wapi kuingia fainali?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Hao wazuri walikuwa wapi kuingia fainali?
Liverpool....tena kwa goli nyingi tu si chini ya 3
Liverpool anakiu na makombe ukame umetawala kwao.Naamini ni zamu yao leo
Tottenhm will be a winnerItashinda Liverpool au Tottenham
Liverpool akikosa hili kombe akate
Tamaa na makombe kabisa kugombania
Wakioikosa ilo naamini ule usemi 'your not walk alone'mashabiki watawaachia wachezaji.its too much liver toka wachukue kikombe ni umri wa kijana alie barehe zaidi ya miaka minne.Kweli lakini mambo ni magumu
Hotspurs wanashinda hii mechi
Weeeeeee...!Naona Tottenham akishinda 2-1 dhidi ya Liverpool.
Tuwekeana mzigo hapa hapa. Liverpool game iko upande wao mkuuNaona Tottenham akishinda 2-1 dhidi ya Liverpool.
Umeona wap kama lipo upande wao,Tuwekeana mzigo hapa hapa. Liverpool game iko upande wao mkuu
Nimeona pale kwa pain killer mkuu,hasa alivyopanicUmeona wap kama lipo upande wao,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kombe atapewa mancity!!!!Itashinda Liverpool au Tottenham