Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Ni hatari sana. Hapo ni mabadilishano tu, kuna mwingine analea wa kwako na wewe unalea wa kwake
Huruma sana tunaibiwa [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]hatariiiiiii
Mhhh! Nina hasira kweli!Ndo maisha ni kuyazoea tu hakuna namna
Yaani ingekuwa mtihani wewe ungepata 100%....sure big up ..agiza soda moja hapo nakuja kulipiaDaah ngoja niwahi chap kupima wangu [emoji23] [emoji23]
Ila asilimia kubwa wanaoenda kupima DNA wanamatatizo
Ngumu kumeza!Heheheheheee pole sanaa.
Matatizo yapi mkuu?Daah ngoja niwahi chap kupima wangu [emoji23] [emoji23]
Ila asilimia kubwa wanaoenda kupima DNA wanamatatizo
Pole ya nini sasa ??Heheheheheee pole sanaa.