Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Chanzo ya yote hii michepuko, mpaka mnabambikia waume zenu watoto wa nje, siku ya mwisho mtasema nini sir god, akina mama mnatuua ua ua ua uaaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Ni hatari sana. Hapo ni mabadilishano tu, kuna mwingine analea wa kwako na wewe unalea wa kwake
Huruma sana tunaibiwa [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]hatariiiiiii
Mhhh! Nina hasira kweli!Ndo maisha ni kuyazoea tu hakuna namna
Yaani ingekuwa mtihani wewe ungepata 100%....sure big up ..agiza soda moja hapo nakuja kulipiaDaah ngoja niwahi chap kupima wangu [emoji23] [emoji23]
Ila asilimia kubwa wanaoenda kupima DNA wanamatatizo
Ngumu kumeza!Heheheheheee pole sanaa.
Matatizo yapi mkuu?Daah ngoja niwahi chap kupima wangu [emoji23] [emoji23]
Ila asilimia kubwa wanaoenda kupima DNA wanamatatizo
Pole ya nini sasa ??Heheheheheee pole sanaa.