Sure kaka...Hapana alisema naomba Defoe abaki hapa mpka nitakapolala,,,nae Defoe hakuona noma akajilaza dogo alipolala usingizi Defoe akasepa,,,ila sio kwamba alisema akifa Defoe awepo nop nop
Dogo karuhusiwa leo nyumbani mkuu..bado Mungu hajamuhitaji bado nadhani.Bado anadunda. Naomba kujua Defoe haendi mazoezini wala mechi kwa wakati huu!
sana mkuu,wakati hapo china wajanja wanatibu kansa kwa siku kadhaa tuu unarudi kuwa mzima kabisa,na ni wazungu ndio wanaotuaminisha kuwa kansa haitibiki kwa story zao uchwara kama hiziWazungu kwa kuandaa story hawajambo
Mkuu ni rahisi kusema hivyo kama hujapatwa na magumu. Ila kama una chuki binafsi na wazungu hapo siwezi nikaongezea, kwamaana chuki huwa haiondoki mpaka utakapojifunza kupenda,kujali na kuwa na roho ya huruma. Ni Mungu pekee atakayehukumu.Wazungu kwa kuandaa story hawajambo
Mkuu kweli usemayo yana ukweli haya?!hivi cancer ingekuwa na dawa kwa gharama yoyote ile unadhani hao wazungu wangekubali watu wao wafe,wakiwapo watu muhimu kama kina Stive Jobs etc!tuache kudanganyana omba Mungu akuepushie maradhi hayo yanatesa sana.sana mkuu,wakati hapo china wajanja wanatibu kansa kwa siku kadhaa tuu unarudi kuwa mzima kabisa,na ni wazungu ndio wanaotuaminisha kuwa kansa haitibiki kwa story zao uchwara kama hizi