Touched: Bradley aomba afie mikononi mwa Defoe

Mkuu kweli usemayo yana ukweli haya?!hivi cancer ingekuwa na dawa kwa gharama yoyote ile unadhani hao wazungu wangekubali watu wao wafe,wakiwapo watu muhimu kama kina Stive Jobs etc!tuache kudanganyana omba Mungu akuepushie maradhi hayo yanatesa sana.
Tatizo bado unaamini kwa mwanasiasa ni mtetezi wa maisha yako,hivi unajua pharmaceutical industry inavyohujumu maisha ya watu walio wengi? hivi unajua jinsi gani propaganda zinaenezwa kuhusu magonjwa mbalimnbali kuwapumbaza watu waamini kuwa magonjwa mengi hayatibiki na wakati yanatibika? Hakuna ugonjwa usio na tiba kama unaweza njoo inbox nikupe kitabu usome upate mwanga
 
Mkuu samahan una shule kidogo kuhusu cancer??
 
tafuta ukweli utaujua ulimwengu unaendaje,ila ni wengi tunaoelewa hivo laini kuna nchi wame advance sana katika kipengere cha tiba asilia ikiwemo china na india,sio AMERICA wala Uingerza
 
Hivi hujawahi kusikia hivyo vitabu vyako vinatangaza kuwa dawa ya UKIMWI ipo, and naona umekubali kabisa eti hakuna ugonjwa usiotibika... Mkuu sayansi sio siasa..
 
poa mkuu basi yaishe,kila mtu na uelewa wake,
 
Kwakweli,mtoto kama huyu aje acheze timu under 17,atakuwa na uchungu na nchi yake kikwelikweli na sio pesa kama tulivyozoea kuona,MUNGU mkubwa pia anamipango yake
 
Mkuu samahan una shule kidogo kuhusu cancer??
Kuna vitu vingine na vya kupuuza huyu anaweza kuwa Sabato masalia mwenzao kagongwa na nyoka mwenye Sumu wanamuombea badala ya kumpeleka hospital haishangazi kusema cancer inaponyeka
 
Tatizo bado unaamini kwa mwanasiasa ni mtetezi wa maisha yako,hivi unajua pharmaceutical industry inavyohujumu maisha ya watu walio wengi? hivi unajua jinsi gani propaganda zinaenezwa kuhusu magonjwa mbalimnbali kuwapumbaza watu waamini kuwa magonjwa mengi hayatibiki na wakati yanatibika? Hakuna ugonjwa usio na tiba kama unaweza njoo inbox nikupe kitabu usome upate mwanga
Karumanzira Work.
 
Kuna mtoto was ndg yangu akiwa na miezi 9 alipimwa akaambiwa Ana cansa...jicho moja tayar limeshaharibiwa vbaya Sana na linatakiwa litolewe haraka...akaletwa ccbrt wakalitoa walivompeleka kucheck wakasema na lingne tayar limeshaathiriwa n shart litolewe!!!
Akatolewa macho yote.....wakat wanamuuguza akafanyiwa viipimo tena wakamwambia cansa imeshamtafuna mno Hana hata siku mbili..
.wakampa ruhusa aondoke siku hio hio ili wapunguze garama za ksafirisha msiba.....
Maaaaajabu ya Mungu......yule mtoto ana miaka zaid ya 3 saiv na yupo vzr.......
Naaamini Mungu huyu huyu atamponya BRADLEY
 
Amen. Hata mimi naamini pia.
 
Mkuu ni rahisi kusema hivyo kama hujapatwa na magumu. Ila kama una chuki binafsi na wazungu hapo siwezi nikaongezea, kwamaana chuki huwa haiondoki mpaka utakapojifunza kupenda,kujali na kuwa na roho ya huruma. Ni Mungu pekee atakayehukumu.
We jamaa ni wapi nimeonesha chuki na wazungu, mie siko tayari kushabikia mambo yao ya kijinga. Hiyo picha ina tafsri nyingi kwa kila aitazamae
 
sana mkuu,wakati hapo china wajanja wanatibu kansa kwa siku kadhaa tuu unarudi kuwa mzima kabisa,na ni wazungu ndio wanaotuaminisha kuwa kansa haitibiki kwa story zao uchwara kama hizi
Sasa hutashangaa dogo hafi kesho wala kesho kutwa husishangae ni tangazo la kansa kwa ile hospital ili watu waende kwao
 
Back
Top Bottom