Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Tatizo bado unaamini kwa mwanasiasa ni mtetezi wa maisha yako,hivi unajua pharmaceutical industry inavyohujumu maisha ya watu walio wengi? hivi unajua jinsi gani propaganda zinaenezwa kuhusu magonjwa mbalimnbali kuwapumbaza watu waamini kuwa magonjwa mengi hayatibiki na wakati yanatibika? Hakuna ugonjwa usio na tiba kama unaweza njoo inbox nikupe kitabu usome upate mwangaMkuu kweli usemayo yana ukweli haya?!hivi cancer ingekuwa na dawa kwa gharama yoyote ile unadhani hao wazungu wangekubali watu wao wafe,wakiwapo watu muhimu kama kina Stive Jobs etc!tuache kudanganyana omba Mungu akuepushie maradhi hayo yanatesa sana.