Mtu wa Asali
Senior Member
- May 9, 2022
- 152
- 292
Nakumbuka Mwaka 1970 Wafanyakazi wa Shirika la reli waligoma kisa tu Viongozi walikuwa wanapata mkate wenye siagi na wao walikuwa wanakunywa chai na mkate. [emoji23][emoji23][emoji23] solution la dai lao walitaka Wafanyakazi wote wanywe chai na mkate bila siagi wawe sawa instead ya kuomba waongezewe na wao wapate mkate wenye siagi.
Akili zetu hizi hazijabadilika hadi leo, hizi akili zilijidhihirisha awamu ya tano tukafundishwa kuchukia wenye neema sisi wenye dhiki tukajiona tu na haki ya firdausi ya nchi ni mali yetu absurdity kabisa.
Kwanini leo nisimame na January Makamba kwa kaliba yake amekulia kwenye siasa mara nyingi ameelezea historia ya mapitio ya maisha yake tangu utoto.
Amekuwa exposed kwenye dhiki na Faraja kote huku amepitia uzuri wake ni good brain anakumbuka wapi ametoka. Wengi tunaweza kuwa tumesoma naye au kukua naye kwenye mapitio haya.
Watanzania tuna shida kubwa sehemu tunajilimbikizia mateso ni mabingwa wa first sight communication taarifa ya kwanza tu tunayoipokea ndiyo taarifa sahihi hatuna wakati wa kuchimba zaidi. Tumekuwa kizazi chenye taarifa nyingi lakini hatuna uelewa nazo au ufahamu.
Kosa la January ni kuwa na akili kuwa visionary leader alipokabidhiwa wizara tukampima bila kuangalia utendaji alipotuambia ukweli kuhusu hali ya Tanesco tukamuona kama amebeba chuki kwa Serikali ya awamu ya Tano.
January si mtu wa visasi na vinyongo ni aina ya viongozi ambao wamekuzwa kwenye maadili ya uongozi. Amepita makuzi kwa Mzee Mkapa, Mzee Kikwete, Mzee Kinana, Mzee Nnauye. Watu wanashindwa kufahamu chuki hutengenezwa na watu wanaowazunguka viongozi Magufuli alifundishwa kumchukia January mtu aliyetakiwa kumfanya mshauri wake hakumtaka akamsukuma nje. Akaaanza kutengeneza Jeshi lake mwenyewe ambalo lilimfunga macho.
Akili ya January ilimpa utulivu. Watu wenye akili huonekana kwenye vipindi vigumu vya maisha au namna wanavyoyatatua matatizo kuna msemo unasema tough times never last but tough people do. He was calm kwenye situation ngumu kama ile aliona hata kujiweka kwenye public kungemuongezea uhasama zaidi alijificha mbali na uso wa Dunia.
Akili ya January ilimtenga na kelele za Comparison na mtangulizi wake kwenye Nishati watu wakaanza kumfananisha January na kalemani utendaji wao haya yalikuwa makosa ya karne na karne. Hili hakikumuondoa kwenye planning zake kuijenga upya Tanesco atleast now shirika linaendeshwa kisasa na kazi inaonekana.
Kosa la January ni lipi? Vijana wote tunatamani kuwa kama yeye. Tunatamani utulivu wake kwenye utendaji wa kazi. Tunamuonea wivu tunaona hatuwezi kufika alipofika tumechelewa kwenye utendaji tunaanza kupika majungu, tunaanza kutengeneza maruhani aaah wapi yule mpigaji tu, Inahitaji akili kuja na Program kuendesha serikali unless tutakuwa watu wa mapambio.
Let him be. Master wa mchezo wa karne hii.