Msitusahau na wafanyakazu hapa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Utalii una hela wadau sio utani kuzidi ata madini ya kubahatisha. km mpo siriasi tuyajenge maana ata me npo onprocess ku launch site yangu ya utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wote,sijataja jinsia hapo[emoji3][emoji3]Hata sisi wanaume tunaruhusiwa kuweka namba au wadada tu?
Unajua kwamba nikikupa business plan ni sawa na nimekuuzia biashara,kama wewe ni mdau wa biashara lakini! Business plan tutaitengeneza woteMi mdau wa utalii ila sina pa kuanzia lete business plan yako tuone tunashirikiana vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka namba hapa ya simu kama tangazo linavyosema,au ni tumie private
Unahitaji watu wa criteria zipi? Mbona wazo lako ni zito ila umeliandika kiwepesi sana?Tanzania biashara ya utalii na madini hazijatendewa haki kabisaaa.
Sasa nahitaji watu wanne au zaidi tuanze na campsite moja kabambe ambayo itakua mfano Tanzania ikiwezekana Dunia nzima.
Wekeni namba zenu za simu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Una hitaji watu wenye mitaji ya pesa kama ndio ni kiasi gani?Unahitaji watu wa criteria zipi? Mbona wazo lako ni zito ila umeliandika kiwepesi sana?
Sent using Jamii Forums mobile app